Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wasema watashiriki uchaguzi mdogo jimbo la Muhambwe

Huu ni ujinga wa mwanasiasa, kinachopiganiwa ni maslai ya vyama na sio nchi/taifa.
Sasa kama miaka yote tunapiga kelele kudai tume huru pamoja na katiba mpya alafu wewe unaona kuwa hii tume ni sawa kwa kushiriki chaguzi, kweli tutafika
 
elewa anachoongea, hivi kama utashiriki uchaguzi ambao unahakika hata ukishinda unapigwa chini nini faida yake? sasa unataka watu wapoteze muda bure sio? bora ishiriki CCM peke yake
Lengo la zitto Sio kushindwa Bali kupata attention tu.ACT kiukweli bado Sana kusimamia wanachokiamini kwa vitendo, heri hata CUF wakati mwingine
 
Huu ni ujinga wa mwanasiasa, kinachopiganiwa ni maslai ya vyama na sio nchi/taifa.
Sasa kama miaka yote tunapiga kelele kudai tume huru pamoja na katiba mpya alafu wewe unaona kuwa hii tume ni sawa kwa kushiriki chaguzi, kweli tutafika
Zitto kwake tume huru ni rais.haahaa
 
elewa anachoongea, hivi kama utashiriki uchaguzi ambao unahakika hata ukishinda unapigwa chini nini faida yake? sasa unataka watu wapoteze muda bure sio? bora ishiriki CCM peke yake
Sasa mbona Tundu Lissu 2020 aliranda nchi nzima kupiga kampeni awe rais wa JMT bila tume huru ya uchaguzi hamkuwaachia ccm ishiriki peke yake? kuna wakati mnakuwa na kisebusebu kuna wakati mnajitia kununa., hamjielewi
 
pale tulitaka kuonyesha dunia kwa vitendo kuwa kuna wizi wa kura na iliona hvyo
 
CHADEMA ni chama cha upinzani ACT na wajinga wenzao ni matawi ya CCM.

Hivyo ukome kuilinganisha CDM na hao waganga njaa wenzenu
Chadema hamjtambui mpompo tu ili mradi. Jussa kasema vizuri sana. Chapa kazi huku unadai unachodai.Siku ukikipata unasonga mbele zaidi.Chadema Saccos ya familia hadi baba akubali
 
Zamu ya Samia sasa kuiba KURA[emoji16][emoji16]
 
Chadema hamjtambui mpompo tu ili mradi. Jussa kasema vizuri sana. Chapa kazi huku unadai unachodai.Siku ukikipata unasonga mbele zaidi.Chadema Saccos ya familia hadi baba akubali
Wachana na cdm weee endelea na shetani wenu ccm na ndugu zenu waganga njaa kina ACT
 
Nyie ACT kushiriki ni halali maana mna maridhiano tayari but kwa CHADEMA ingekua aibu maana wamepinga chaguzi, wamekataa viti maalum afu waje kutafuta jimbo moja??

Then kuhusu kuwa CCM.... Nadhani CHADEMA kama ingekua imelainika ingeshakufa toka 2012!! Hvi madhila aliyopata Mbowe, Mnyika kufungiwa kusoma milele, Lissu kumiminiwa SMG nzima n.k unaweza kudai hao ni CCM B?
 
Seif huyu alienunuliwa mara 2 kwa umakamu wa rais??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…