zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
@Zitto alituambia tarehe 30 November kuwa hamtashiriki chaguzi yoyote ya NEC kutokana na wizi. Okay apart from maridhiano nini kimebadilika mpaka leo mdhani mkishinda mtatangazwa huku bara?Itakuwa ni ujinga chama cha upinzani kuwa hakiwezi onyesha upinzani mpaka kuwepo na tume huru, nyi wabongo mmelegea sana hamukuonyesha kujikaza wakati wote tokea mumeanzisha chama chenu
Unataka mulainike vipi tena Tundu Lissu anapigwa risasi lakini bado viongozi wenu wakuu bawacha wanaunga mkono juhudi, kwisha habari yenu chadema., anzeni upya chama chenuNyie ACT kushiriki ni halali maana mna maridhiano tayari but kwa CHADEMA ingekua aibu maana wamepinga chaguzi, wamekataa viti maalum afu waje kutafuta jimbo moja??
Then kuhusu kuwa CCM.... Nadhani CHADEMA kama ingekua imelainika ingeshakufa toka 2012!! Hvi madhila aliyopata Mbowe, Mnyika kufungiwa kusoma milele, Lissu kumiminiwa SMG nzima n.k unaweza kudai hao ni CCM B?
Mbowe alitangaza hilo siku moja na @Zittona amesimamia hilo mpaka leo nyie ndio mmerudi nyuma kwa kigezo cha maridhiano. Mnasahau kuwa tume ni ile ile iliyompora zitto ubunge unless mna makubaliano ya kumrudisha bungeni.Tangazeni basi 2025 hamtashiriki bila tume huru kama walivyotangaza CUF lipumba., kwann mna kigugumizi
Nani kaunga juhudi? Hao mabinti tamaa ya madaraka ndio imewapeleka but chama kiliwafukuza. Nyie ACT jussa kapigwa huku makumi ya wafuasi wameuawa wakipigania ushindi wenu mmeenda kuwasaliti kisa ving'ora na wizara mbili tuUnataka mulainike vipi tena Tundu Lissu anapigwa risasi lakini bado viongozi wenu wakuu bawacha wanaunga mkono juhudi, kwisha habari yenu chadema., anzeni upya chama chenu
Zitto ni mtu wa hoja, akili yake haijaganda alishiriki uchaguzi mdogo kule pemba jimbo la pandani kumpima hussen mwinyi kama angedumisha demokrasia na kashinda jimbo kwa level ya uwakilishi na sasa kaweka hoja nyengine kwa mama Samia na hivi kwa mwanasiasa ndivyo anavyotakiwa awe siku zote awe na mtazamo chanya sio siku zote unajifunguia ndani kwenye kiyoyozi kule belgium au dubai na canada halafu wananchi wako ambao wameeka matumaini yao kwako hawajuwi nini cha kufanya, ni kufeli kisiasa, chadema imefeli sana kisiasa@Zitto alituambia tarehe 30 November kuwa hamtashiriki chaguzi yoyote ya NEC kutokana na wizi. Okay apart from maridhiano nini kimebadilika mpaka leo mdhani mkishinda mtatangazwa huku bara?
Sasa kama viongozi wen wakuu wana tamaa ya madaraka kama ulivyosema apo kuna nini tena, well jussa kapigwa sana lakini jussa binafsi alikuwa mtu mwanzo mwanzo kukubali wazanzibari kuungana na hata hao waliopigania ushindi waliafiki umoja wa wazanzibari ili angalau wazanzibari wapate haki zao kipindi hichi ambacho ubaguzi ulikithiri kule zanzibar, matabaka lakini na chuki na hivi ndivyo siasa, adui hupigani naye kwa siku 1 au mbili, muhimu ni kwambza zanzibar saivi watu wote wanapata haki sawa.Nani kaunga juhudi? Hao mabinti tamaa ya madaraka ndio imewapeleka but chama kiliwafukuza. Nyie ACT jussa kapigwa huku makumi ya wafuasi wameuawa wakipigania ushindi wenu mmeenda kuwasaliti kisa ving'ora na wizara mbili tu
Haahaa kwa pale anajisumbua.Ni Jimbo la ccm lileACT mpelekeni Zitto tunamuhitaji bungeni.
Ndio maana wamefukuzwa!! Kama nyie mlivyotimuliwa na Lipumba mlipomsaliti the principle is clear ili chama kibaki na heshima.Sasa kama viongozi wen wakuu wana tamaa ya madaraka kama ulivyosema apo kuna nini tena, well jussa kapigwa sana lakini jussa binafsi alikuwa mtu mwanzo mwanzo kukubali wazanzibari kuungana na hata hao waliopigania ushindi waliafiki umoja wa wazanzibari ili angalau wazanzibari wapate haki zao kipindi hichi ambacho ubaguzi ulikithiri kule zanzibar, matabaka lakini na chuki na hivi ndivyo siasa, adui hupigani naye kwa siku 1 au mbili, muhimu ni kwambza zanzibar saivi watu wote wanapata haki sawa.
Zitto akiibiwa kura hapo kibondo asije kulialia hapa akubali matokeo na ampe ushirikiano Samia!!Zitto ni mtu wa hoja, akili yake haijaganda alishiriki uchaguzi mdogo kule pemba jimbo la pandani kumpima hussen mwinyi kama angedumisha demokrasia na kashinda jimbo kwa level ya uwakilishi na sasa kaweka hoja nyengine kwa mama Samia na hivi kwa mwanasiasa ndivyo anavyotakiwa awe siku zote awe na mtazamo chanya sio siku zote unajifunguia ndani kwenye kiyoyozi kule belgium au dubai na canada halafu wananchi wako ambao wameeka matumaini yao kwako hawajuwi nini cha kufanya, ni kufeli kisiasa, chadema imefeli sana kisiasa
Mtafukuza wangapi? mbona mumeshindwa kumfukuza Makamo mwenyekiti wenu kule Zanzibar akipigia kampeni wagombea wa ccm 2020 mchana kweupe na kina mbowe wanajua fika., ndio mana tunasema hamna taasisi imara mumesheheni mapandikizi kwenye chama chenuNdio maana wamefukuzwa!! Kama nyie mlivyotimuliwa na Lipumba mlipomsaliti the principle is clear ili chama kibaki na heshima.
Sasa nyie kama kamati kuu mnakubali ku surrender kisa ving'ora? Maalim alipogomea 2016 nadhani umeona heshima na nguvu aliyoingia nayo 2020. Nyie waganga njaa ndio msahau kabisa hyo 2025 kuambulia chochote zenji maana CCM washajua mtakubali tu umakamu hta kma mmeporwa majimbo 20.
Waganga njaa kina nani? Hawa wanaopokea ruzuku kutoka kwa wabunge ambao uchaguzi wao na ushindi wao wanalisema hawautambui? Hata kama kupenda ni upofu hii sasa ni kupenda ni umau.tiCHADEMA ni chama cha upinzani ACT na wajinga wenzao ni matawi ya CCM.
Hivyo ukome kuilinganisha CDM na hao waganga njaa wenzenu
Hapana nakataa. Mh Zito huwa anasimamia kile anachoona kina faida kwa taifa na chama chake. Aliwahi hata kumpongeza raisi Magufuli enzi za uhai wake kwa kazi yake nzuri aliyokuwa anaifanya kwa nchi hii mpk kupelekea wapinzani wenzake kumuita "msaliti". Huyu Magufuli aliekuwa anasifiwa na mh Zito kwa utendaji wake uliotukuka alikuwa ni mkristo halisi wa baba na mama. Pia raisi Magufuli alivyokuja mkoani Kilimanjaro kufuatilia maendeleo ya mkoa wetu mh Mbowe alimsifu sana raisi lkn hakuna alieunganisha sifa hizo za Mbowe na udini au usaliti.Harufu ya Udini inaanza, ZZK akiwepo Rais Muislam uwa wanayumba sana kimsimamo. Wengine tunamfahamu vizuri tangu enzi za JK, na Ustaadhi Ilunga aliwahi kumsifu kwa hilo. Tusubiri
Tutafukuza wote tu ndio discipline inajengwa... Ona kina Zitto walitimuliwa ili heshima ya chama iwepo na toka hapo hamna anayeogopwa kwenye chama otherwise yangetukuta ya Lipumba and the late Seif!!Mtafukuza wangapi? mbona mumeshindwa kumfukuza Makamo mwenyekiti wenu kule Zanzibar akipigia kampeni wagombea wa ccm 2020 mchana kweupe na kina mbowe wanajua fika., ndio mana tunasema hamna taasisi imara mumesheheni mapandikizi kwenye chama chenu
Cdm haijawahi na haitafanya matendo ya kijambazi kama mfanyavyo nyinyi majambazi wa uchaguziWaganga njaa kina nani? Hawa wanaopokea ruzuku kutoka kwa wabunge ambao uchaguzi wao na ushindi wao wanalisema hawautambui? Hata kama kupenda ni upofu hii sasa ni kupenda ni umau.ti
Ubarikiwe sana kiongozi kwa kumpa elimu ya bure huyo binti asiyezijua siasaTutafukuza wote tu ndio discipline inajengwa... Ona kina Zitto walitimuliwa ili heshima ya chama iwepo na toka hapo hamna anayeogopwa kwenye chama otherwise yangetukuta ya Lipumba and the late Seif!!
About Issa Mohammed hana madhara.... Yupo pale ceremonial kwa sababu ya muungano tu so abaki atoke hana impact. Zeni ni kina Mwalimu ndio wapo kwenye inner circle.
Coward/mwoga ni yule anaeishi kwa kubebwa. Ukimdai tumehuru na usawa analia eti kila kitu anapingwapingwa.Coward chadema.,