ACT Wazalendo wataka Zanzibar ipewe mamlaka kamili

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili

Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi

Chanzo: ITV habari
 
Source ITV habari
Hivi haya ma act yanavichaa, si waseme wazi tu kuwa wanataka kuvunja Muungano???

Sasa Zanzibar itakuwaje na mamlaka kamili ndani ya Muungano??
 
Huku Tanganyika ikiendelea kuwa koloni la Zanzibar au nayo itapatiwa uhuru wake ili iwe na mamlaka 'kamili'?
 
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili

Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi

Source ITV habari
Huu muungano either uvunjwe or uwe wa serikali 3 ili Tanganyika nayo itambulike na sio kuendelea na huu muuondo wa kipumbavu wa serikali 2 unaoibeba Zanzibar
 
Wapewe Zanzibar huru na huku tuondokane na utawala wa kikoloni wa aibu ya kutawaliwa na bibi wa kizanzibari
 
Huu muungano either uvunjwe or uwe wa serikali 3 ili Tanganyika nayo itambulike na sio kuendelea na huu muuondo wa kipumbavu wa serikali 2 unaoibeba Zanzibar

Muundo umenganganiwa kwa maslahi ya watawala wa ccm,ila kimsimgi ni muundo wa kipumbafu wajinga tu ndio wanaoupambania,imshu ya maana ni serikali moja haiwezekani kila mtu arudi kwao.
 
Hivi haya ma act yanavichaa, si waseme wazi tu kuwa wanataka kuvunja Muungano???

Sasa Zanzibar itakuwaje na mamlaka kamili ndani ya Muungano??
Nimeliona hili la mimi...yanataka mamlaka kamili ndani ya muungano...na tafsiri yake ni kwamba hali ya muundo wa serikali 2 iendelee...katika setup ya serikali 2 tayari Zanzibar inamamlaka....hivyo Tanganyika utaendelea kufyonzwa
 
Back
Top Bottom