Watu wanahangaika na muungano badala ya kuhangaika na maendeleo ya watu. ACT ni Chama Cha kidini.
Wakimaliza kuvunja muungano watajikuta wanahoji Nkataba wa Muungano wa Pemba na Unguja.
Watasema Pemba ni nchi huru mana hajawahi kuungana na Unguja. Wapemba watataka kujitenga ili waungane na Oman Kisha wachimbe Mafuta yao.
Unguja haitakubali vita itaanza. Itaanzia ndani ya Unguja mana Unguja wapo Wapemba na waunguja pamoja wanaounganishwa Kwa amri na katiba zilizopo lakini kiukweli siku zote weupe hawapendi kutawaliwa na weusi mana weusi sio waaminifu ,watu weusi ni watu wasio na kiasi. Watu weusi Ni watu wapenda rushwa na dhulma .Sasa wale wenye asili ya Kiarabu au wapemba hawawezi kuvumilia muda wote utawala wa weusi ambao nao hua wanafanya dhulma ili waendelee kutawala Kwa rushwa na Kwa nguvu .
Huu Muungano wa serikali mbili unaharibiwa na siasa za kinafiki, woga, rushwa , dhulma, mauaji, kidini , kilaghai n.k zilizoasisiwa na CCM Kwa manufaa ya watu wa Chache waliopo bara na wengine kule visiwani.
Siku kikiingia Chama kingine madarakani ndipo umuhimu au ubaya wa Muungano huu wa Kisiasa utakapoonekana.
Muungano imara duniani ni Muungano wa kiuchumi na kijamii.
CCM Ina watu wenye vichwa vidogo sana.
Wazanzibar hawapendi wageni kutoka bara Kwa sababu BIDHAA za Zanzibar zinawekewa vikwazo vikubwa sana kibiashara matokeo yake ni wazanzibar kukosa umuhimu wa Muungano watu wanataka pesa mifukoni sio masuala ya kuwaambia eti Muungano unamzuia Sultani Kurudi.
Sasa kama Sultani atarudi kuwaletea Wananchi maisha Bora ubaya wake Nini?
Arudi hata afufuke Tip tip alete maisha Bora Kwa wazanzibar. Kakikundi kadogo ka watawala kalikokosa mbinu za kuinua uchumi kana woga wa kuondoka madarakani matokeo yake kanaleta hoja uchwara.
Watu maskini wanadanganywa sana . Kuna wakati watadanganywa mpaka na magaidi kama wakati ule walipoanza kuchoma makanisa na kumwagia wachungaji tindikali. Yote Yale ni Kwa sababu ya umaskini. Hakuna Tajiri anayejitoa muhanga kwa Kupiga Bomu. Maskini na mtu aliyedhulumiwa haki yake ndiye anayejitoa muhanga mana Hana Cha kupoteza Tena.
ACT ije na siasa zenye mbinu za kujenga uchumi wa Watanzania wote Kwa sababu ni Chama Chini ya Muungano.