ACT Wazalendo wataka Zanzibar ipewe mamlaka kamili

ACT Wazalendo wataka Zanzibar ipewe mamlaka kamili

Ktk threads km hizi nd tunagundua chuki zilizomo mioyoni mwetu dhidi ya wazanzibar na zanzbar yao kwa ujumla.
Yaani kustuka kwamba wananyonywa, wanatawaliwa, kwamba hawautaki muundo wa serikali mbili bora ziwe tatu, au iwe moja au muungano uvunjwe kila mtu arudi kwao aanze mambo upya ndiyo unaita chuki zilizomo mioyoni?
-Wewe una maoni gani kuhusu muundo wa muungano unaofaa au kuhusu kuuvunja huu muungano?
 
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili

Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi

Chanzo: ITV habari
Muungano wenye zanzibat na mamlaka kamili ndio muungano gani? Mtu anajiona mjanja hadi anakua mjinga.
 
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili

Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi

Chanzo: ITV habari
Huu mtego kabisa ,mamlaka ziwe macho
 
Akina Zitto wamegeuka wafanya bidding wa Wazanzibari, Wanaitetea Zanzibar passionately huku wakifumbia macho concerns zetu sisi Watanganyika ndani ya huu muungano wa chako changu, changu changu..

Kwa mtindo huu ACT kitaishia kuwa chama cha Zanzibar ila huku Tanganyika kitapata tabu sana
ACT ni chama cha Wapemba kwa sasa na Zitto ni chawa mtiifu wa hicho chama, finances zote za kuendesha chama zinatoka 'ujombani'.
Machogo hebu tulieni akina yakhe waendelee kuwadhulimu, mmevumilia miaka yote leo ndiyo mjifanye kuustukia mchezo.
 
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili

Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi

Chanzo: ITV habari
Zanzibar ikiwa na mamlaka kamili Zitto atakuwa wapi?
 
Tanganyika na Zanzibar ni sawa na England na Scotland.

Mkiwa Jamii forums mnadhani ni Rahisi kuvunja muungano(In theory ni nchi mbili) but practically ni nchi moja.

I'm not seeing any practical step ya Zanzibar kuwa nje ya Muungano, in next 3 decades hatutakuwa na Uzanzibar
 
Binafsi

Zanzibar ijitegemee kwa kila kitu kuanzia jeshi, wawe nchi huru

Kuja huku waanze kutumia passport

Waliowekeza huku wahesabiwe kama wawekezaji

Wengine warudishwe kwao
Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika na haiwezi kupewa mamlaka kamili, kama China imechukua Hong Kong na inahitaji Taiwan, hatuwezi kuachia Zanzibar hata iweje, soon tunaenda kufuta mamlaka waliyonayo hiyo kidogo na kusimika utawala moja na serikali moja
 
Hivi haya ma act yanavichaa, si waseme wazi tu kuwa wanataka kuvunja Muungano???

Sasa Zanzibar itakuwaje na mamlaka kamili ndani ya Muungano??
Yaani mambo yasiyo ya muungano wawe na mamlaka kamili. Mfano afya sio muungano ila hawawezi kuwa mwanachama WHO!!
 
Back
Top Bottom