johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naunga mkono hoja.Ni sawa tu
Zanzibar haina JeshiUna raisi, bunge, mahakama, jeshi na bado unalia huna mamlaka kamili? Kwanini usitumie hivyo vyombo kupata hio mamlaka?
Na wapemba waliozagaa bara huku waondoke.Binafsi
Zanzibar ijitegemee kwa kila kitu kuanzia jeshi, wawe nchi huru...
Mambo huwa hayaendi hivyo!Binafsi
Zanzibar ijitegemee kwa kila kitu kuanzia jeshi, wawe nchi huru
Kuja huku waanze kutumia passport
Waliowekeza huku wahesabiwe kama wawekezaji
Wengine warudishwe kwao
Hivi haya ma act yanavichaa, si waseme wazi tu kuwa wanataka kuvunja Muungano???Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili
Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi
Source ITV habari
Leo umekuwa na akiliBinafsi
Zanzibar ijitegemee kwa kila kitu kuanzia jeshi, wawe nchi huru
Kuja huku waanze kutumia passport
Waliowekeza huku wahesabiwe kama wawekezaji
Wengine warudishwe kwao
Huku Tanganyika ikiendelea kuwa koloni la Zanzibar au nayo itapatiwa uhuru wake ili iwe na mamlaka 'kamili'?Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili
Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi
Source ITV habari
Huu muungano either uvunjwe or uwe wa serikali 3 ili Tanganyika nayo itambulike na sio kuendelea na huu muuondo wa kipumbavu wa serikali 2 unaoibeba ZanzibarMakamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili
Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi
Source ITV habari
Wapewe Zanzibar huru na huku tuondokane na utawala wa kikoloni wa aibu ya kutawaliwa na bibi wa kizanzibariMakamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili
Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi
Source ITV habari
Dawa ni kuvunjwa ama serikali 3 kuendelea na muundo wa serikali 2 huku Zanzibar umeishaikamilishia kwa kuwapa mamlaka kamili (yaani yote) ni kuendelea unyonyaji kwa TanganyikaKwa hiyo Tanganyika itakuwa Vipi !.
Kabisa wajitenge kupe wakubwa wale (wanaifyonza Tanganyika)Binafsi
Zanzibar ijitegemee kwa kila kitu kuanzia jeshi, wawe nchi huru
Kuja huku waanze kutumia passport
Waliowekeza huku wahesabiwe kama wawekezaji
Wengine warudishwe kwao
Huu muungano either uvunjwe or uwe wa serikali 3 ili Tanganyika nayo itambulike na sio kuendelea na huu muuondo wa kipumbavu wa serikali 2 unaoibeba Zanzibar
Wanayo sema wanayaita kwa majina mengine (wanaita vikosi)...lakini ndo majeshi yenyewe...na amiri jeshi wao ni raisi wa Zanzibar ambaye huitwa kwa Nina tofauti la kamanda mkuuZanzibar haina Jeshi
Nimeliona hili la mimi...yanataka mamlaka kamili ndani ya muungano...na tafsiri yake ni kwamba hali ya muundo wa serikali 2 iendelee...katika setup ya serikali 2 tayari Zanzibar inamamlaka....hivyo Tanganyika utaendelea kufyonzwaHivi haya ma act yanavichaa, si waseme wazi tu kuwa wanataka kuvunja Muungano???
Sasa Zanzibar itakuwaje na mamlaka kamili ndani ya Muungano??