Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!
Thubutu!
Ngoja Mbowe ateuliwe kuwa mbunge ndio utaamini bwashee!
Duh! Mpaka leo kuna mburura anazungumzia udini, nimesikitika sana.Hii habari imefunikwa na mjadala kuhusu dini na ukabila kwenye uteuzi wa BARAZA LA MAWAZRI
Wivu umekuzidi kamanda.
Ismail Jussa ameumizwa, Mazrui alitekwa mara mbili, baadhi ya viongozi na wananchi wamekufa na kujeruhiwa kutokana na huu uchaguzi haramu halafu eti mnaungana na watesi wenu kwa ajili ya maslai ya watu wachache! Maalim Seif, wewe mwenyewe ulisimamishwa kufanya kampeni kwa siku 5. ACT mmeshakuwa mamluki hampo kwa ajili ya wazanzibari na watanzania bara.
We jamaa bwanaACT Zanzibar wametepeta.
Makumi ya waliouawa Zanzibar....
jamaa anajikutaga mzee wa busara, anapanga mipango kuliko chama chenyewe saaahv kabaki solembaNkikuonya sana mkuu kwamba utaushi kwa stress sana kuwashabikia wana siasa.
🤣🤣Wameweka mbele njaa kuliko principle
Wao ndiyo waliotutangazia jinsi kura zilivyoibiwa huko Zenji...
Lisu ni mkimbizi!Mbna humtaj Lissu
Kwaiyo ulitaka Wafute chama aumbna kama unatufokea, si kikao chao ndo kimeamua kwan tumemuita?
Maandiko yako hayana maana, hayajengi yanabomoa. Mshindi wa kweli ni yule anayerudisha mshikamano baada ya ushindi, si yule anayejitapa kwa ushindi huku akimnanga mpinzani.Nikapewa zile karatasi....
Nikajongea katika KITUTURU..kalamu mkononi...
BILA CCM IMARA NCHI ITALEGALEGA.
🤣jamaa anajikutaga mzee wa busara, anapanga mipango kuliko chama chenyewe saaahv kabaki solemba
We jamaa bwana
Sasa wasingeshiriki ndio zile maiti zingefufuka?
Bakini wenyewe chadema na siasa zenu za kwenye mitandao tu
Coz kwa miaka mitano yote hamtakuwa hata na mkutano wa udiwani
MATAGA wametoa milio ya kila aina toka jana, wanadai dini flani haionekani, sasa sijajua kama JPM kateua viongozi wa dini ama mawaziriDuh! Mpaka leo kuna mburura anazungumzia udini, nimesikitika sana.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Kuna miili ipo chini ya ardhi na tani 9 za udongo huku wengine wakila kuku kwa mrija , daaahIMEISHA HIYO.