ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

Kwa maamuzi haya, sio budi CHADEMA nao wawaache kina Halima Mdee waendelee tu na majukumu ya ubunge wa viti maalum kwa maslahi ya Taifa.
 
Lissu, Mbowe, Maria Sarungi msife moyo tupo pamoja nanyi, viongozi wa ACT ni wanafiki, hawana utofauti na Mbatia.
Ndugu zangu wazanzibar chagueni chama mbadala cha kuwapigania kwani ACT na CCM ni dugu moja Sasa.
 
Maandiko yako hayana maana, hayajengi yanabomoa. Mshindi wa kweli ni yule anayerudisha mshikamano baada ya ushindi, si yule anayejitapa kwa ushindi huku akimnanga mpinzani.

CCM NA UPINZANI NI MUDA WA KUUNGANA NA KUIPIGANIA NCHI ILI HALI YA UCHUMI IRUDI NA PESA ZITAWALE MTAANI. CORONA IMETUUMIZA SANA.
Sawa Mkuu...

Kwa hiyo MSHINDI hastahili kuufurahia ushindi wake wenye TIJA kabla ya "kulijenga taifa"?!!

Ndio kwanza jana Baraza la mawaziri limejulikana....

Na leo wale walioshindwa...baada ya muda wa "kulalamika kuisha"..nao wanajipanga "kulijenga taifa"......

Sasa mimi nikachagua wale waliosheherekea ushindi...ahsante kwa kunikumbusha kuwa ni kosa!!
 
Lissu, Mbowe, Maria Sarungi msife moyo tupo pamoja nanyi, viongozi wa act ni wanafiki, hawana utofauti na Mbatia.
Ndugu zangu wazanzibar chagueni chama mbadala cha kuwapigania kwani act na ccm ni dugu moja Sasa.
Upo pamoja nao kwenye nn?
ACT wamefanya maamuz Mazuri sana

Uwez kuwa na chama cha kufanya siasa na hauna forums za kufanya hiyo siasa
 
Missile of the nation...

Bwaamkubwa kuna tofauti kubwa kati ya SIASA na HARAKATI.

Japo siasa ndani yake pia ina msukumo wa HARAKATI.

ACT wameng'amua kubaki SIASANI.

Mh.Maalim Seif Sharrif Hamad ni MWANASIASA PURE....Wala hajawahi kuwa MWANAHARAKATI PURE.....

Maendeleo hayana vyama.

Think thrice
 
Huu ndio mwisho wa ACT- Wazalendo kama ilivyokuwa MDC Zimbabwe ya Morgan Tsvangirai. Nani atahamasisha umma wa wazanzibari mwaka 2025?
 
Mkuu

Bahati mbaya umechelewa kufikia hitimisho. Hivi "vyama vya upinzani" lengo lao ni kuisaidia CCM ibaki madarakani. Basi!
Na kusaidia serikali kupata hela za mabeberu kupitia mgongo wa demokrasia
 
Sawa Mkuu...

Kwa hiyo MSHINDI hastahili kuufurahia ushindi wake wenye TIJA kabla ya "kulijenga taifa"?!!

Ndio kwanza jana Baraza la mawaziri limejulikana..
Mkuu

Raisi ni JPM, chama kinachotawala ni CCM hiyo inatosha. Huu si muda wa kusherekea ushindi. Kama ni lazima kupongeza, basi wa kupongezwa kwa sasa ni ACT kwa kukubali ushirikiano. USIWANANGE CHADEMA, Endelea kuwahisi wakubaliane na hali na wawe sehemu ya TZ hata kama hawana nafasi za uongozi. Huu ni muda wa Kuinua sekta binafsi, kuinua utalii, kuleta mshikamano na kuifurahia nchi yetu regardless ya yaliyotokea.

MWAMBIENI TL AACHANE NA ICC, AMWAMBIE WAKILI AJE AWEKEZE TANZANIA TUTAMPOKEA. ZILE CONNECTION ALIZO NAZO ZA WAZUNGU AZITUMIE VIZURI KUINUFAISHA TZ KIUWEKEZAJI.
 
Masisiemu Sasa ndio yamejua kiasi ambacho magufuli hawaamini.

Yaani kawapa Watoto wake, Na mbuzi za chadema alizonunua mnadani na zile ng'ombe za jalalani udsm pale bila kusahau lakezonelization, watu wa Kanda ya ziwa.

Masisiemu yamepigwa na butwaa
 
Back
Top Bottom