Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
Pascal Mayalla hiyo Njaa haiishi tu hata baada ya kurudishiwa Press Card? Kwa jitihada za kuunga mkono juhudi miaka yote 5 bila mafanikio wenzake wakimpita na teuzi nzitonzito kilichobaki ni kwenda moja kwa moja akizungumza lughà toka getini mpaka ndani akitoka huko njaa imegangwa.Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Serikali ya Umoja Zanzibar ipo kikatiba siyo fadhila ndo maana miaka 5 iliyopita Makamu wa Kwanza wa Rais hakupatikana kwa sababu CUF walisusa kushiriki. Vivyo hivyo vile viti maalum 19 vya Ubunge ni vya CHADEMA kikatiba ndo maana Fomu za uteuzi toka NEC bado wanazo na kama CHADEMA nao watasusia kushiriki, viti hivyo vitabaki wazi mpaka Uchaguzi ujao.
Mgogoro wa wakina Mdee ulitokea baada mchezo mchafu uliofanywa na NEC na Ndugai kujaribu kujaza viti hivyo na wanachama wa CHADEMA hata kuwaapisha kwenye gereji.
Teuzi bado zinaendelea Mayalla asikate tamaa wala asitishwe na PhD zinazojazwa kwenye nafasi mbalimbali hata akipata Ukatibu Tarafa na bodaboda juu ni afadhali kuliko kuhangaika na Press Card mkononi na njaa palepale.