ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Pascal Mayalla hiyo Njaa haiishi tu hata baada ya kurudishiwa Press Card? Kwa jitihada za kuunga mkono juhudi miaka yote 5 bila mafanikio wenzake wakimpita na teuzi nzitonzito kilichobaki ni kwenda moja kwa moja akizungumza lughà toka getini mpaka ndani akitoka huko njaa imegangwa.

Serikali ya Umoja Zanzibar ipo kikatiba siyo fadhila ndo maana miaka 5 iliyopita Makamu wa Kwanza wa Rais hakupatikana kwa sababu CUF walisusa kushiriki. Vivyo hivyo vile viti maalum 19 vya Ubunge ni vya CHADEMA kikatiba ndo maana Fomu za uteuzi toka NEC bado wanazo na kama CHADEMA nao watasusia kushiriki, viti hivyo vitabaki wazi mpaka Uchaguzi ujao.

Mgogoro wa wakina Mdee ulitokea baada mchezo mchafu uliofanywa na NEC na Ndugai kujaribu kujaza viti hivyo na wanachama wa CHADEMA hata kuwaapisha kwenye gereji.

Teuzi bado zinaendelea Mayalla asikate tamaa wala asitishwe na PhD zinazojazwa kwenye nafasi mbalimbali hata akipata Ukatibu Tarafa na bodaboda juu ni afadhali kuliko kuhangaika na Press Card mkononi na njaa palepale.
 
Hyo haimaanishi kuwa uchaguzi ulikuwa Huru.
Wizi wa kura na kura feki VITABAKI PALE PALE
Siku zote timu ikishakubali goli na mpira ukawekwa kati, inamaanisha goli lile nisahihi. Sasa mapambio tuliyoaminishwa na huyo kiongozi mkuu wa chama kwamba tukae tayari uchaguzi unarudiwa, kwakusambaza vinyaraka kwenye jumuia zote, kuwaaminisha uchaguzi haukuwa sahihi hivyo wao hawatambui serikali iliyoko kwenye kazi. Kwa sasa watakataaaa tena?
 
Zito alisha saliti CDM enzi hizo, kutaka uenyekiti wa Mbowe, si mtu wa kumwamini. Kwa hili mimi sioni ajabu maana Zito ana historia ya usaliti!
Hili sio swala la usaliti,,hata hao mabeberu usifikiri wataweka vikwazo au kugoma kutoa hela,,maridhiano lazima yawepo
 
Usaliti ulianza pale walipomgeuka BERNARD MEMBE,
Sasa zamu yetu kugeukwa,tuvumilie tu maana tuliipenda yenyewe
Tuache unafiki,,wananchi wenyewe ndo walianza kuwasaliti wanasiasa,,hivyo mwanasiasa way out ni kuridhiana tu
 
Kama ni Lumumba pita kushoto , ili uchaguzi uwe huru na haki kuna sifa zake ( characteristics ) zinazoaangaliwa na sio mapenzi ya kijani kibichi .
2025 spana tena, maana mko bize na mambo ya kijinga badala huu muda mngetumia kujenga chama! Mtaishia kulialia tu kwenye mitandao!
 
Wanasisa acheni kutumia Watanzania kama vyambo na kujinufaisha.Watu wanauwawa wengine wanateswa wengine wanafungwa ninyi mnaenda kushirikiana na watesi kula na kunywa.Nilisema narudia hakuna haja ya kupiga kura.Chaguaneni ninyi wenyewe mfanye mtakayo .
 
Upo mkate mgumu mbele ya chai bwashee.
Hakuna aina hiyo ya mkate mkuu.

Kumbuka Mdee miaka dahali aliita kuwa yy mbunge m1 ni sawa na wabunge 10 wa CCM baada ya kupigwa chini kisha akaonjenshwa chai iliyo na viongo vya hiliki, tangawizi na asali ana ugumu wowote? Amelainika kama kamba ya manila *****.
 
Once a traitor, always a traitor. Yaani Zitto na wenzako mmeamua kuisaliti Zanzibar kwa vipande vya fedha. Historia itawahukumu kwa huu udhalimu mlioufanya leo. Kama siyo ninyi ambao mtalipia damu za wazanzibari wasio na hatia basi wana wenu watalipia.

Watu wamepoteza uhai, ndugu na wengine wamepata vilema kisa kuwaunga mkono ninyi halafu leo hii kirahisi tu mnaamua kufanya kazi na watesi wa wazanzibari kweli. Hayo mabadiliko mnayoyataka mbona huyo Maalim hakuyafanya mwaka 2010-2015 ?
 
Safiii shetani na washirika wake msioitakia mema Tanzania mmeaibishwa.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hebu mwenye hotuba ya Zitto kwenye ile press yao na akina Mbowe aweke hapa
 
Hivi, huyu si ndiye aliiuza chadema kwa EL, au umesahau mara hii? Hata mlipoambiwa kumpokea lowassa ilikuwa liability nyie hamkuelewa!
ndo huyo huyo, tatizo ni hawa kamanda uchwara huku online tunawapa elimu wasije kufa alafu wanaomfia kachukua ethiopian airways kurudi kwao
 
Kuharibika kwa uchaguzi wa 2020 kosa ni la nani?

CCM wameiba kura na kutengeneza kura feki Nani ATAWAHUKUMU?.
Siku zote timu ikishakubali goli na mpira ukawekwa kati, inamaanisha goli lile nisahihi. Sasa mapambio tuliyoaminishwa na huyo kiongozi mkuu wa chama kwamba tukae tayari uchaguzi unarudiwa, kwakusambaza vinyaraka kwenye jumuia zote, kuwaaminisha uchaguzi haukuwa sahihi hivyo wao hawatambui serikali iliyoko kwenye kazi. Kwa sasa watakataaaa tena?
 
Nina uhakika Zitto Kabwe Maalim Seif Sharifu Hamad na Act Wazalendo hata waje na hoja gani kuhalalisha hiki walichokifanya hakuna mtu anaweza kuwaelewa labda hao walioenda kuungana nao kuwasdifia wapate hela za wafadhili ..
Ungependa hii hali iendelee mpaka lini!?
 
Saaaafi Sana ACT Kwa uamuzi huu
Mmejionesha Ninyi mmekomaa ki Siasa!

Mnastahili hata kupewa nchi, tofauti na watoto wasiokuwa Chadema
 
Back
Top Bottom