Ada mpya za kutuma na kutoa pesa kwa Tigo Pesa

Ada mpya za kutuma na kutoa pesa kwa Tigo Pesa

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1626279207032.png
 
Mwigulu atakuwa anajichekesha tu muda huu tena kwa dharau na hiyo solidarity fund yake! A.k a TOZO! Ukimuambia na yeye akatwe kodi kwenye yale maposho yake kule bungeni, unamkuta ndiyo wa kwanza kunyanyua mabega kukataa.

Tuiondoe tu ccm! No way out. Iwe kwa kura, iwe kwa nguvu ya umma! Vyote sawa tu.
 
Ngoja nikatoe pesa yangu ambayo ipo kwenye Halopesa kabla haijafika hiyo tarehe 15.
 
Mtu wa mkoani sasa hivi asiniombe hela nitamwambia elfu 10 unayotaka ninayo, tatizo ya kutolea ndio sina, kama vipi toka Moro njoo Dar uchukue elfu 10 yako.

Makampuni ya simu na serikali wajiandae kuumia kwa hili, hawajanikomoa hata kidogo.
 
Wabunge Wetu Wana Dharau Kwa Wananchi
Yaani Wao Hawakatwi Kodi Wanapopata Posho
Sasa Hivi Maji Tutaita Mmaa!!🙄😶😑😐
 
Kuanzia leo urafiki na Mimi ukome, huyo wanaomuita madelu,katutenganisha jamaa Ana roho mbaya Sana ,,nakumbuka yeye ndiye aliyemshauri anko asitaje wagonjwa wa korona, nakumbuka enzi zake watu waliokotwa kwenye viroba, Sasa sijui huyu mama yetu kipenzi hili jini ametoka nalo wapi,
 
Kuanzia leo urafiki na Mimi ukome, huyo wanaomuita madelu,katutenganisha jamaa Ana roho mbaya Sana ,,nakumbuka yeye ndiye aliyemshauri anko asitaje wagonjwa wa korona,,nakumbuka enzi zake watu waliokotwa kwenye viroba,,Sasa sijui huyu mama yetu kipenzi hili jini ametoka nalo wapi,
Mi nazani yeye na jini lake, tuwakatae!! waondoke watuachie nchi yetu!! Tuanzishe harakati ya kataa Samia kataa madelu.
 
Kuanzia leo urafiki na Mimi ukome, huyo wanaomuita madelu,katutenganisha jamaa Ana roho mbaya Sana ,,nakumbuka yeye ndiye aliyemshauri anko asitaje wagonjwa wa korona,,nakumbuka enzi zake watu waliokotwa kwenye viroba,,Sasa sijui huyu mama yetu kipenzi hili jini ametoka nalo wapi,
sasa utaenda wapi ndugu kilichotokea huko ndio sawasawa na mabenki nayo hivyo
1626318355269.png
 
Back
Top Bottom