Ada mpya za kutuma na kutoa pesa kwa Tigo Pesa

Wakuu salama?
Nimemtumia ndugu yangu elfu 30 ya kununua dawa huko kijijini. Cha kushangaza nimekatwa karibia elfu 3 nzima.
Haya makato ni ya kawaida kweli au kuna technical errors kwenye system za tigo pesa?

Tigopesa new.PNG
 
hapo tayari umesha changia mwanao au mtoto wa ndugu yako akapate elimu bora, pia umesaidia ndugu yako popote alipo apate huduma bora hospitalini.
usijutie makato hayo, utafurahia huduma za afya, elimu na barabara.
mjenga nchi ni mwananchi, tujenge nchi yetu.
 
Aiseeee
 
Back
Top Bottom