Ada mpya za kutuma na kutoa pesa kwa Tigo Pesa

Aaaaah Wakuu, Nyie si ndio mlisema sjui Nchi Imepona mbna mmegeuka Tena na mkafikia mbali mkasema kwamba Mama Yenu Anaupiga Mwingi Wakuu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hata alipoingia magufuli watu walikuwa na matumaini baadae akageuka kuwa zimwi likujualo.
 
Vijana jiajirini mje kukatwa tozo ya mshikamano [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hivi kama mtu hataki kuwa mzalendo kuna kitufe cha kubonyeza ili ujitoe kweli?
Mana sioni dalili ya kuwa mzalendo kabisaaaaa
 
Kelele zote hizi kisa imeongezeka 200 tu, shame![emoji1614][emoji36]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…