Adaiwa kuchoma nyumba ya hawara baada ya kutomkuta usiku, mtoto afia ndani

Adaiwa kuchoma nyumba ya hawara baada ya kutomkuta usiku, mtoto afia ndani

Mtoto, Ashura Makelebe (4) amekufa kwa kuteketea kwa moto ndani ya nyumba baada ya mtu anayedhaniwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mama yake mzazi kudaiwa kuchoma moto nyumba aliyokuwa amelala.

Mtuhumiwa huyo ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai hayo, anadaiwa kufikia uamuzi wa kuteketeza nyumba hiyo baada ya kumkosa, Acyprian Charles (24) ambaye ni mama mzazi wa Ashura alipoenda kumtembelea usiku wa kuamkia leo Juni 23, 2023.

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Gideon Msuya amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akisema jeshi hilo linamshikilia, Magesa Mkama (29) kwa tuhuma za kuchoma nyumba hiyo kwa lengo la kumkomoa hawara yake na kupelekea kifo cha mtoto huyo.
View attachment 2667028
Zamani kabla ya kuvuta bangi tulikuwa tukijifunza kwanza kwa kuvuta majani ya mpapai,manyanunda,amasya alafu ndo tunajipima sasa kwamba bangi ni size yetu ama lah!
 
Haya mambo ya mapenzi mnayoendekeza na kuuwana kwanini nchi isiuzwe kwa DP World, nchi ngumu sana
 
Jaman malaika wa Mungu,kina mama Ashura mna Nini lakini?mtoto Miaka minne,ila kitumbua unakitembeza,Afya ya mtoto hata huijali?Madem mmezidi.
 
Single mother muwe makini na watu mnao toka nao,mtatuulia watoto wetu.
 
yani kuna mwanamke nilimlaa siku tukazinguana anaanza kuniambia mimi ni mkalii sijui hata wanaume wananiogopaaaa...na nawachukia wanaume balaa aisee SIKUJIBU MSG WALA KUPOKEA SIMU ZAKE TENA. aliombaa msamahaa eti ni maneno tu hasiraaa ila sikugeukaa nyumaaa.
Yupo kwenye ule uzi wetu pendwa au huyu ulimla serious?
 
Back
Top Bottom