Adam Mchomvu ampiga msanii Q Chief

Nyie wahuni mpo wapi?
 
Adam Mchomvu hana adabu! Bahati mbaya sana Clouds fm wamemlea hivyo na sasa atawagharimu. Haiwezekani mtangazaji wa muda mrefu kama huyu bado awe na mambo ya kitoto na kihuni alafu radio inamlea.

Anapata wapi guts za kupiga mtu tena studio? Alafu Clouds taasisi yenye heshima mkashindwa kulimaliza kiungwana hili hadi imebidi Q chief atoke hadharani after 2 weeks! Imagine amewapa heshima ya kiwango gani?

Huyu dogo apigwe nyundo ili ajifunze na iwe mfano kwa vijana wengine. Hii ndio njia pekee ya kumfunza adabu abadilike. Clouds pia mjiangalie upya, ukosefu wa nidhamu ya kiwango hiki mlipaswa kuchukua hatua kali ili iwe mfano.





Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kwa alichokifanya chillah cjajua ila alichofanya mbasha pale ningekua mimi angekula ndoige nikamalizia na roba kuvumilia dharau ni kujivunjia heshima
Kuna vingine vitamgharimu,sasa anamshambulia mgeni wake studio tena yeye akiwa kazini
 
Sawa ni kosa lakini kuna maadili ya kazi. Alafu wao wenyewe ndio huanza masihara sasa ukikuta mtu mwenye mood hiyo pia wawe wapole au wamtimue studio sio kupiga mtu ndani ya studio live.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…