Adam Mchomvu ampiga msanii Q Chief

Adam Mchomvu ampiga msanii Q Chief

naamini hajapata size yake bado maana anachagua wa kuwazingua.

Ipo siku atapigwa ngumi za kutosha halafu wamalize na kumpiga pipe kabisa aishie kujamba vizuri.

Adam sio bangi zinazomtoa akli ni ushoga uliomjaa ndio unamchanganya.
yani alimpiga jamaa kama anataka kumuaa sijui shida ni nini... hata kama hasiraa sio kufanya hivyo sehemu ya kazi.
 
Clouds media hawapo mezani
Adamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha Ep yake kwenye kipindi hicho, msanii huyo aliweza kujizuia kutokuonyesha hali ya jazba na kuendelea na kilichompeleka.

Msanii Q chief amechukua hatua za kisheria dhidi ya mtangazaji huyo.

Habari zaidi msikilize mwanasheria wa msanii huyo,



View attachment 2551144View attachment 2551145

Hii si mara ya kwanza Adam kufanya shambulio la kudhulu mwili, alifanya hivyo kwa Emanuel Mbasha, Alifanya hivyo Kwa Mtangazaji mwenzie enzi yupo Clouds Dina Marios, Geah Habib,nk hapo hapo clouds na kusababisha kusimamishwa kwa muda asiende kazini.

Hii tabia inaharibu brand ya Clouds iliyowekwa kwa muda mrefu.

Joseph Kusaga huyu bwana mdogo anakuharibia sana hapo clouds fukuza kazi ulinde brand ya kampuni,kampuni kwanza mtu baadae!

Mzaha mzaha hutumbua usaha wahenga walinena,usipoziba ufa utajenga ukuta.Wacha kukumbatia wahuni fukuzia mbali.
 
Kwenye mjengo wa Clouds Mgeni anapigwa Makonde mazito na hawajachukua hatua yoyote sasa hapo Mtu si anaweza akanyongwa kabisa humo studio? 🥲
Ina maana kwa Wageni kwenda Mjengo wa Clouds sio salama kwao hakuna ulinzi dhidi yao,

Q chillah atafute Mwanasheria mzuri ili iwe fundisho kwa hiyo Media na huyo mtu mzima hovyo anayejifyetua akili.
Kwa kifupi Q Chief angeweza ku_kashoggiwa humo humo mjengoni i.e kupotezwa
 
Back
Top Bottom