Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Mitama ya kwenye shuhuli za CCM inahusiana vipi na TCRA ?
 
Matope,
Reaction ya Adamu haikuwa sahihi kwa namna ambavyo tukio lilikuwa likionyeshwa katika media nyingi tena moja kwa moja,naungana na wewe kusema kwamba Adamu ndio kajishushia heshima kwa kitendo kile huku Mbasha akionyesha ukomavu kwa kujikausha.

Sijui aliambiwa nini sekunde za mwisho ambacho hatukukisikia kwa maana ile 'unajua wewe bangi sana',ni msemo wa kawaida ambao hata tusio tumia huambiwa na naamini Adamu anaujua vizuri.

Adamu kajiharibia sana,kuna deals naamini zitamkimbia kwa ile tabia ya ajabu mbele ya kadamnasi,Mbasha nae inabidi akue na kuacha shobo zisizo na msingi(naamini Frola alimkimbia kwa mengi sana tusiyoyajua).
 


Sasa tusubilie reaction ya CCM kwenye hili kuna kitu kidogo kinaweza kutomea kikaleta shida hata kwa mwajiri hapo hapo wamefungiwa Jahazi mara wamepewa host ya kutangaza event kubwa wanapiga wasanii dah 😁😁😁
 
Kateke kadogo sana. Huwezi kumwambia mtu mbele ya hadhara, mbele ya Rais na viongozi mbali mbalieti 'unajua wewe bangi sana', unajua unamkosesha dili ngapi? Bravo Mchomvu, ungemuongezea na ka kibao kwa juu uli pombe yote ikate na awe na heshima.
It's true, ila wanasema 'end justify the means" ku-deal nae public mbele ya hao uliowataja kuna-justify bangi alizosema Mbasha.
 
Wasanii wa TZ ni kielelezo cha sehemu ya jamii yetu ilivyo bado gizani. Mpaka itakapo jitambua, haichomoki kwenye mikono ya sisiemu.
 
Mbasha kapata kipondo heavy Hata aliposhuka Jukwaani Mchomvu kamfuata watu ndio wameamulia
 
Kwahiyo unataka kusema wewe ni mojawapo ya mapunga yaliyoko huko ccm ?

Nimeshamjibu Kurlzawa hapo Juu,acha uvivu wa kusoma....

Mimi Si Punga ila nijuacho HAKUNA kipengele ndani ya Katiba Ya CCM na Chadema inayozuia Mapunga Kuwa WANACHAMA.....

Hapa tunajiandaa,Magufuli Atakaposhinda KWA Kishindo hapo Oktoba,tuongeze kifungu ndani ya Katiba kinachotaka WAGOMBEA WA URAIS wapimwe Mar...inda na MADOKTA ili wathibitishwe Kama HAYAJAPIGWA PASI.....

Mfikishie Ujumbe Tundu Lissu.
 
Hata mimi ukiniita majina ya kishenzi mbele ya jamii lazima nikuchezeshee mbata na mitama ya kuzidi.
Adam mchomvu kafanya kazi nzuri sana, nchi hii watu ukiwachekea wanaleta mazoea ya kifala sana.
 
huyu mc kamfanyia mwenzake makusudi maana hata staili yake ya kumpiga mtama alizamilia , kitu ambacho sio ustarabu kabisa so ningekua najua matusi ninge mpa bonge la tusi but basi why umdhalilishe mwenzako kwa kujiona we mhuni sana au kutafuta kiki za kishamba ,
 
Na wajumbe walikuwa na lipi la kusema? Ile ni kimo cha mbuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…