Scolari
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 1,721
- 2,383
Kwa ground zipi?Mbasha afungue kesi ya defamation
He mchomvu aki counter claim kwamba alifanyiwa defamation at kuhusianishwa na bangi? Inakuaje hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ground zipi?Mbasha afungue kesi ya defamation
Naona akaamua amshukie kabisa,ila hii sio picha nzuri hasa kwa CMG.Sababu wiki hii Jahazi imefungiwa,alafu mtangazaji wa kituo chao nae kafanya kitendo kibaya mbele ya kadamnasi,so hata TCRA wakitaka kuwaonea huruma CMG kwa kukifungulia kipindi cha Jahazi,wakiangalia hii tabia ya Mchomvu watawaweka watangazaji wa Jahazi na Mchomvu ktk kundi moja.
Noted.tukio walilipanga kabla ili watrend..yaani wakiki!!..
Anawafuatilia live akitokea hifadhi ya ChatoMagu alikuwepo pale?
Reaction ya Adamu haikuwa sahihi kwa namna ambavyo tukio lilikuwa likionyeshwa katika media nyingi tena moja kwa moja,naungana na wewe kusema kwamba Damu ndio kajishushia adabu kwa kitendo kile huku Mbasha akionyesha ukomavu.
Sijui aliambiwa nini sekunde za mwisho ambacho hatukukisikia kwa maana ile 'unajua wewe bangi sana',ni msemo wa kawaida ambao hata tusio tumia huambiwa na naamini adamu anaujua vizuri.
Adamu kajiharibia sana,kuna deals naamini zitamkimbia kwa ile tabia ya ajabu mbele ya kadamnasi,Mbasha nae inabidi akue na kuacha shobo zisizo na msingi(naamini Frola alimkimbia kwa mengi sana tusiyoyajua).
HAhaaaaMchumba unafeli
It's true, ila wanasema 'end justify the means" ku-deal nae public mbele ya hao uliowataja kuna-justify bangi alizosema Mbasha.Kateke kadogo sana. Huwezi kumwambia mtu mbele ya hadhara, mbele ya Rais na viongozi mbali mbalieti 'unajua wewe bangi sana', unajua unamkosesha dili ngapi? Bravo Mchomvu, ungemuongezea na ka kibao kwa juu uli pombe yote ikate na awe na heshima.
Ccm bila bange haiwezekani[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wale bange mkuu zinawasumbua
Mbasha kapata kipondo heavy Hata aliposhuka Jukwaani Mchomvu kamfuata watu ndio wameamuliaMbasha mlevi kalewa huyo, analeta masihara kwenye kazi za watu. Alistahili kichapo.
BTW hawajapigana ila Mbasha kapigwa teke la mguu na wala hakuna issue hapo yeye ka take easy kasepa jukwaani.
Ila kwa vile nyumbu kila jambo mnataka kupata kiki tayari mmeona issue
Kwahiyo unataka kusema wewe ni mojawapo ya mapunga yaliyoko huko ccm ?
Hata mimi ukiniita majina ya kishenzi mbele ya jamii lazima nikuchezeshee mbata na mitama ya kuzidi.Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu.
Ni aibu lakini nimeona ameitwa pembeni nadhani wameenda kuyamaliza.
huyu mc kamfanyia mwenzake makusudi maana hata staili yake ya kumpiga mtama alizamilia , kitu ambacho sio ustarabu kabisa so ningekua najua matusi ninge mpa bonge la tusi but basi why umdhalilishe mwenzako kwa kujiona we mhuni sana au kutafuta kiki za kishamba ,Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu.
Ni aibu lakini nimeona ameitwa pembeni nadhani wameenda kuyamaliza.
Roho mbaya hiyo dadaNatamani wangeuana kbs