Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Wangapi walivaa za kijani? Mbona wengi tu hawakuvaa nguo za kijani.

Tuwe na tabia ya kutazama show nzima au kusoma jambo na kulielewa kabla ya kuhitimisha.

Sitaki kuwataja ambao hawakuvaa au walivaa kijani ila kaangalie show nzima.
 
Tukimlaumu mbasha pengine sitiresi za dear wake walioachana
 
Hata Nyerere mwenye chama chake hakuwahi kuvaa hizo jezi, unajua ni kwanini?
 
Unavaa nguo za ccm unafanana na mgomba, watu wanaona bichwa lako wanafikiri ni mkungu wa ndizi wanachukua panga wanakata kichwa unatoka damu unakufa, loh
 
Mchomvu bangi Sana sijui ccm awakuliona Hilo, mjini bado unawaza kupigana haya Mambo ya kupigana ufanywa na uncivilized and uneducated
Ccm mmezoea masihara ya kijinga, dawa yake ni mabanzi na mitama kama ya buti la jeje la Mchomvu
 
kimtama cha kifala tu
Mbasha nae kaanguka,wote watoto wa mama tu,mi ADAMU MCHOVU hata nisinzie hawezi kunifanya chochote maana na yeye ni mchumba tu.
 
Naona watu wanashangilia mbasha kupigwa mtama. Ila mmemuona adam alivokua stejini from mavazi yake , body language kuongea etc hakua normal kabisa. Mbasha was right labda jamaa alikua amelewa au kapuliza. Anyways CCM kuweni professional angalieni watu mnaotaka wawa represent. That whole fiasco is an embarrassment to the whole party sio mbasha wala mchomvu
 
Tukio la ccm ifungiwe clouds kwani wao ndo wameandaa ilo tukio? Unajuaje pale alipata dili yeye kama yeye na si Clouds?
Tukio la CCM,likiongozwa na na Adam,ambaye ni mtangazaji na balozi wa CMG chochote atakacho kifanya nje au ndani kitakuwa na impact either -ve au +ve Kwenye kituo husika.

Usha ajiliwa hamna wewe kama wewe,bali wewe ni balozi wa kampuni unayoifanyia kazi.
 
Wewe Mkuu utakuwa mbumbumbu kweli, hilo sio Jambo Dogo Kama unavyofikiria, yani uandae harus Halafu ualike watu waende pale mbele waanze kupigana Halafu useme ni Jambo ndogo? Utakuwa huna akiri Kabisa, hilo ni Jambo kubwa mno mno kuliko unavyofikiria na litawaweka clouds katika Wakati mgumu Sana kuliko nyakati yoyote ile, wafanya Kazi wa clouds Kwa sasa wakikosea tu wanalabwa fain, mchovu hatakuwa na kibarua tena, kitaota nyasi na akifukuzwa kule serikali itawapiga bana vyombo vyote wasimchukue na atabaki uraiani tu, na baada Ya hapo atahangaika kumtafuta mbasha ili bivu liendelee. Lakini pia Faham kuwa kitakachozungumziwa Kwa sasa ni huo ugomvi sio tamasha tena kitu ambacho haikuwa dhamira Ya polepole, vile vile wasaniii watasononeka na kilichotokea badala Ya kufurahi wataumia kuwa mjumbe Wao kakata waya na hawataaminika na Ccm sasa wataenda Kwa kunyanyasika, pia Faham kuwa tamasha Nia yake ilikuwa kukomesha upinzani ili polepole atambe matokeo yake imekuwa kinyume chake sasa wewe baki ikisema kuwa ni Jambo la kawaida
 
Ccm mtaongea yote ila mkae mkijua kwamba watu wamechoka kulea ujinga, ukileta za kifala lazima wahuni tukuanzishie noma.
 
Ujinga mfanye wenyewe misisiem afu muanze sumbua watu. Shit.
 
Kateke kadogo sana. Huwezi kumwambia mtu mbele ya hadhara, mbele ya Rais na viongozi mbali mbalieti 'unajua wewe bangi sana', unajua unamkosesha dili ngapi? Bravo Mchomvu, ungemuongezea na ka kibao kwa juu uli pombe yote ikate na awe na heshima.
Yaani hapo inaonyesha kabisa alichosema ni kweli kabisa
 
Imeuma hee

Umechemka, na sio mimi tu nakuona hivyo
Umekuuma wewe na ndio maana mpaka sasa nimesimamia ninacho kiamini na si kupangiana.

Wewe kama unaona nakukera kuna button kuignore,zaidi ya hapo ni shobo zako mwenyewe.
 
Wewe ni mpumbavu kwelikweli..clouds inahusikaje kwa huo uhuni wenu CCM.
 
Ule mtama ni ufunguzi rasmi. Siku Polepole akinizingua maana naye ana maudhi sana basi ajihesabie kwenda kutua Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…