Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Wangapi walivaa za kijani? Mbona wengi tu hawakuvaa nguo za kijani.

Tuwe na tabia ya kutazama show nzima au kusoma jambo na kulielewa kabla ya kuhitimisha.

Sitaki kuwataja ambao hawakuvaa au walivaa kijani ila kaangalie show nzima.
 
Tukimlaumu mbasha pengine sitiresi za dear wake walioachana
 
Hata Nyerere mwenye chama chake hakuwahi kuvaa hizo jezi, unajua ni kwanini?
 
Huyu jamaa kaacha maswali mengi ukichukulia ni mtu wa Arusha kule inakotoka CHADEMA.

Alikuwa na nia ya kuchafua tamasha la CCM ? Maana sasa tamasha halijadiliwi, linajadiliwa tukio hilo tu?

Kwa nini baada ya tukio alisifiwa sana na makada wa CHADEMA?
Unavaa nguo za ccm unafanana na mgomba, watu wanaona bichwa lako wanafikiri ni mkungu wa ndizi wanachukua panga wanakata kichwa unatoka damu unakufa, loh
 
Mchomvu bangi Sana sijui ccm awakuliona Hilo, mjini bado unawaza kupigana haya Mambo ya kupigana ufanywa na uncivilized and uneducated
Ccm mmezoea masihara ya kijinga, dawa yake ni mabanzi na mitama kama ya buti la jeje la Mchomvu
 
kimtama cha kifala tu
Mbasha nae kaanguka,wote watoto wa mama tu,mi ADAMU MCHOVU hata nisinzie hawezi kunifanya chochote maana na yeye ni mchumba tu.
 
Naona watu wanashangilia mbasha kupigwa mtama. Ila mmemuona adam alivokua stejini from mavazi yake , body language kuongea etc hakua normal kabisa. Mbasha was right labda jamaa alikua amelewa au kapuliza. Anyways CCM kuweni professional angalieni watu mnaotaka wawa represent. That whole fiasco is an embarrassment to the whole party sio mbasha wala mchomvu
 
Tukio la ccm ifungiwe clouds kwani wao ndo wameandaa ilo tukio? Unajuaje pale alipata dili yeye kama yeye na si Clouds?
Tukio la CCM,likiongozwa na na Adam,ambaye ni mtangazaji na balozi wa CMG chochote atakacho kifanya nje au ndani kitakuwa na impact either -ve au +ve Kwenye kituo husika.

Usha ajiliwa hamna wewe kama wewe,bali wewe ni balozi wa kampuni unayoifanyia kazi.
 
Mbasha mlevi kalewa huyo, analeta masihara kwenye kazi za watu. Alistahili kichapo.

BTW hawajapigana ila Mbasha kapigwa teke la mguu na wala hakuna issue hapo yeye ka take easy kasepa jukwaani.

Ila kwa vile nyumbu kila jambo mnataka kupata kiki tayari mmeona issue
Wewe Mkuu utakuwa mbumbumbu kweli, hilo sio Jambo Dogo Kama unavyofikiria, yani uandae harus Halafu ualike watu waende pale mbele waanze kupigana Halafu useme ni Jambo ndogo? Utakuwa huna akiri Kabisa, hilo ni Jambo kubwa mno mno kuliko unavyofikiria na litawaweka clouds katika Wakati mgumu Sana kuliko nyakati yoyote ile, wafanya Kazi wa clouds Kwa sasa wakikosea tu wanalabwa fain, mchovu hatakuwa na kibarua tena, kitaota nyasi na akifukuzwa kule serikali itawapiga bana vyombo vyote wasimchukue na atabaki uraiani tu, na baada Ya hapo atahangaika kumtafuta mbasha ili bivu liendelee. Lakini pia Faham kuwa kitakachozungumziwa Kwa sasa ni huo ugomvi sio tamasha tena kitu ambacho haikuwa dhamira Ya polepole, vile vile wasaniii watasononeka na kilichotokea badala Ya kufurahi wataumia kuwa mjumbe Wao kakata waya na hawataaminika na Ccm sasa wataenda Kwa kunyanyasika, pia Faham kuwa tamasha Nia yake ilikuwa kukomesha upinzani ili polepole atambe matokeo yake imekuwa kinyume chake sasa wewe baki ikisema kuwa ni Jambo la kawaida
 
Huyu jamaa kaacha maswali mengi ukichukulia ni mtu wa Arusha kule inakotoka CHADEMA.

Alikuwa na nia ya kuchafua tamasha la CCM ? Maana sasa tamasha halijadiliwi, linajadiliwa tukio hilo tu?

Kwa nini baada ya tukio alisifiwa sana na makada wa CHADEMA?
Ccm mtaongea yote ila mkae mkijua kwamba watu wamechoka kulea ujinga, ukileta za kifala lazima wahuni tukuanzishie noma.
 
Hata Mimi nakuunga mkono, mbasha ndio alikosea Sana ila inawezekana mbasha alikosea kutokana na Uwezo wake wa kufikiri, huenda mbasha akiri ndogo ilimpelekea akatenda kosa pasipo kujua hivyo mchovu alitakiwa baada Ya pale ndio amuadhibu Nyuma Ya kamera, sasa akawa na kosa kubwa kumxid mbasha maaana yeye katenda akiwa amekusudia na akatenda mbele Ya kamera, kiujumla mchovu alitenda kosa zaid, hili litapelekea uhasama Kati ya clouds na Ccm, na Ccm inaweza kuitumia tcra kuiadhibu clouds kuwa inawaajiri watu ovyo, wavuta bangi na Kwa maaana nyingne mbasha na mchovu hawatashirikishwa Jambo lolote na Ccm na clouds bila Shaka itamtimua mchovu Kazi
Ujinga mfanye wenyewe misisiem afu muanze sumbua watu. Shit.
 
Kateke kadogo sana. Huwezi kumwambia mtu mbele ya hadhara, mbele ya Rais na viongozi mbali mbalieti 'unajua wewe bangi sana', unajua unamkosesha dili ngapi? Bravo Mchomvu, ungemuongezea na ka kibao kwa juu uli pombe yote ikate na awe na heshima.
Yaani hapo inaonyesha kabisa alichosema ni kweli kabisa
 
Imeuma hee

Umechemka, na sio mimi tu nakuona hivyo
Umekuuma wewe na ndio maana mpaka sasa nimesimamia ninacho kiamini na si kupangiana.

Wewe kama unaona nakukera kuna button kuignore,zaidi ya hapo ni shobo zako mwenyewe.
 
Wewe ni mpumbavu kwelikweli..clouds inahusikaje kwa huo uhuni wenu CCM.
Wewe Mkuu utakuwa mbumbumbu kweli, hilo sio Jambo Dogo Kama unavyofikiria, yani uandae harus Halafu ualike watu waende pale mbele waanze kupigana Halafu useme ni Jambo ndogo? Utakuwa huna akiri Kabisa, hilo ni Jambo kubwa mno mno kuliko unavyofikiria na litawaweka clouds katika Wakati mgumu Sana kuliko nyakati yoyote ile, wafanya Kazi wa clouds Kwa sasa wakikosea tu wanalabwa fain, mchovu hatakuwa na kibarua tena, kitaota nyasi na akifukuzwa kule serikali itawapiga bana vyombo vyote wasimchukue na atabaki uraiani tu, na baada Ya hapo atahangaika kumtafuta mbasha ili bivu liendelee. Lakini pia Faham kuwa kitakachozungumziwa Kwa sasa ni huo ugomvi sio tamasha tena kitu ambacho haikuwa dhamira Ya polepole, vile vile wasaniii watasononeka na kilichotokea badala Ya kufurahi wataumia kuwa mjumbe Wao kakata waya na hawataaminika na Ccm sasa wataenda Kwa kunyanyasika, pia Faham kuwa tamasha Nia yake ilikuwa kukomesha upinzani ili polepole atambe matokeo yake imekuwa kinyume chake sasa wewe baki ikisema kuwa ni Jambo la kawaida
 
Nakukubalia kabisaaa, mchomvu hata ukimsikiliza kwenye radio huwa anaongea matusi, Mimi mwenyewe niliwahi mkataza mume Wangu asisikilize kipindi chao kile na nikamwambia kuwa hao vijana hawajitambui wanavuta bangi hao maaana kile kipindi wanaongea tu matusi na huyo mchomvu ndio anaeongoza kuongea matusi, na hiyo inaonyesha kuwa ni mvuta bangi, na Kama sio mvuta bangi hangewexa kufanya kitendo Kama kile mbele Ya kamera, Wakati anajua fika kuwa TV hutazamwa na mamilioni Ya watu, Kakosea Sana mno Na kaharibu Kazi Ya watu, hivi hajui kuwa tamasha lilikuwa linaangaliwa na rais? A. K. A. Yesu? Hana akiri hata kidogo Yule mchomvu
Ule mtama ni ufunguzi rasmi. Siku Polepole akinizingua maana naye ana maudhi sana basi ajihesabie kwenda kutua Zanzibar
 
Back
Top Bottom