EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Du kumbe ile kishikaji,kirafiki zaidi hivi nikimkata mtama kama huu mtu mmoja wa ccm itakuwa kesiHuo hapo mtama
View attachment 1538844
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du kumbe ile kishikaji,kirafiki zaidi hivi nikimkata mtama kama huu mtu mmoja wa ccm itakuwa kesiHuo hapo mtama
View attachment 1538844
Ndio wahuni wa mitaani hao, no maadili!Tatizo mbasha hakuongea maneno ya busara sasa kumwambia mwenzake bangi mbele ya hadhara sio sawa amekosea sana
Ni wahuni tu, wanaichafua CCM, nayo inaonekana kuwa wavuta bangi na wahuni ni sehemu yao.Wasanii wanafata pesa sio wanafata ccm.
Lisilo la Baraka haliwezi kuwa na barakaNi wahuni tu, wanaichafua CCM, nayo inaonekana kuwa wavuta bangi na wahuni ni sehemu yao.
Unavaa nguo za ccm unafanana na mgomba, watu wanaona bichwa lako wanafikiri ni mkungu wa ndizi wanachukua panga wanakata kichwa unatoka damu unakufa, lohHuyu jamaa kaacha maswali mengi ukichukulia ni mtu wa Arusha kule inakotoka CHADEMA.
Alikuwa na nia ya kuchafua tamasha la CCM ? Maana sasa tamasha halijadiliwi, linajadiliwa tukio hilo tu?
Kwa nini baada ya tukio alisifiwa sana na makada wa CHADEMA?
Ccm mmezoea masihara ya kijinga, dawa yake ni mabanzi na mitama kama ya buti la jeje la MchomvuMchomvu bangi Sana sijui ccm awakuliona Hilo, mjini bado unawaza kupigana haya Mambo ya kupigana ufanywa na uncivilized and uneducated
Naona watu wahuni wahuni wasio na maadili wamekivamia chama kupitia mlango wa Polepole na Kakuru.Mbona povu
Tukio la CCM,likiongozwa na na Adam,ambaye ni mtangazaji na balozi wa CMG chochote atakacho kifanya nje au ndani kitakuwa na impact either -ve au +ve Kwenye kituo husika.Tukio la ccm ifungiwe clouds kwani wao ndo wameandaa ilo tukio? Unajuaje pale alipata dili yeye kama yeye na si Clouds?
Wewe Mkuu utakuwa mbumbumbu kweli, hilo sio Jambo Dogo Kama unavyofikiria, yani uandae harus Halafu ualike watu waende pale mbele waanze kupigana Halafu useme ni Jambo ndogo? Utakuwa huna akiri Kabisa, hilo ni Jambo kubwa mno mno kuliko unavyofikiria na litawaweka clouds katika Wakati mgumu Sana kuliko nyakati yoyote ile, wafanya Kazi wa clouds Kwa sasa wakikosea tu wanalabwa fain, mchovu hatakuwa na kibarua tena, kitaota nyasi na akifukuzwa kule serikali itawapiga bana vyombo vyote wasimchukue na atabaki uraiani tu, na baada Ya hapo atahangaika kumtafuta mbasha ili bivu liendelee. Lakini pia Faham kuwa kitakachozungumziwa Kwa sasa ni huo ugomvi sio tamasha tena kitu ambacho haikuwa dhamira Ya polepole, vile vile wasaniii watasononeka na kilichotokea badala Ya kufurahi wataumia kuwa mjumbe Wao kakata waya na hawataaminika na Ccm sasa wataenda Kwa kunyanyasika, pia Faham kuwa tamasha Nia yake ilikuwa kukomesha upinzani ili polepole atambe matokeo yake imekuwa kinyume chake sasa wewe baki ikisema kuwa ni Jambo la kawaidaMbasha mlevi kalewa huyo, analeta masihara kwenye kazi za watu. Alistahili kichapo.
BTW hawajapigana ila Mbasha kapigwa teke la mguu na wala hakuna issue hapo yeye ka take easy kasepa jukwaani.
Ila kwa vile nyumbu kila jambo mnataka kupata kiki tayari mmeona issue
Ccm mtaongea yote ila mkae mkijua kwamba watu wamechoka kulea ujinga, ukileta za kifala lazima wahuni tukuanzishie noma.Huyu jamaa kaacha maswali mengi ukichukulia ni mtu wa Arusha kule inakotoka CHADEMA.
Alikuwa na nia ya kuchafua tamasha la CCM ? Maana sasa tamasha halijadiliwi, linajadiliwa tukio hilo tu?
Kwa nini baada ya tukio alisifiwa sana na makada wa CHADEMA?
Ujinga mfanye wenyewe misisiem afu muanze sumbua watu. Shit.Hata Mimi nakuunga mkono, mbasha ndio alikosea Sana ila inawezekana mbasha alikosea kutokana na Uwezo wake wa kufikiri, huenda mbasha akiri ndogo ilimpelekea akatenda kosa pasipo kujua hivyo mchovu alitakiwa baada Ya pale ndio amuadhibu Nyuma Ya kamera, sasa akawa na kosa kubwa kumxid mbasha maaana yeye katenda akiwa amekusudia na akatenda mbele Ya kamera, kiujumla mchovu alitenda kosa zaid, hili litapelekea uhasama Kati ya clouds na Ccm, na Ccm inaweza kuitumia tcra kuiadhibu clouds kuwa inawaajiri watu ovyo, wavuta bangi na Kwa maaana nyingne mbasha na mchovu hawatashirikishwa Jambo lolote na Ccm na clouds bila Shaka itamtimua mchovu Kazi
Yaani hapo inaonyesha kabisa alichosema ni kweli kabisaKateke kadogo sana. Huwezi kumwambia mtu mbele ya hadhara, mbele ya Rais na viongozi mbali mbalieti 'unajua wewe bangi sana', unajua unamkosesha dili ngapi? Bravo Mchomvu, ungemuongezea na ka kibao kwa juu uli pombe yote ikate na awe na heshima.
Umekuuma wewe na ndio maana mpaka sasa nimesimamia ninacho kiamini na si kupangiana.Imeuma hee
Umechemka, na sio mimi tu nakuona hivyo
Wewe Mkuu utakuwa mbumbumbu kweli, hilo sio Jambo Dogo Kama unavyofikiria, yani uandae harus Halafu ualike watu waende pale mbele waanze kupigana Halafu useme ni Jambo ndogo? Utakuwa huna akiri Kabisa, hilo ni Jambo kubwa mno mno kuliko unavyofikiria na litawaweka clouds katika Wakati mgumu Sana kuliko nyakati yoyote ile, wafanya Kazi wa clouds Kwa sasa wakikosea tu wanalabwa fain, mchovu hatakuwa na kibarua tena, kitaota nyasi na akifukuzwa kule serikali itawapiga bana vyombo vyote wasimchukue na atabaki uraiani tu, na baada Ya hapo atahangaika kumtafuta mbasha ili bivu liendelee. Lakini pia Faham kuwa kitakachozungumziwa Kwa sasa ni huo ugomvi sio tamasha tena kitu ambacho haikuwa dhamira Ya polepole, vile vile wasaniii watasononeka na kilichotokea badala Ya kufurahi wataumia kuwa mjumbe Wao kakata waya na hawataaminika na Ccm sasa wataenda Kwa kunyanyasika, pia Faham kuwa tamasha Nia yake ilikuwa kukomesha upinzani ili polepole atambe matokeo yake imekuwa kinyume chake sasa wewe baki ikisema kuwa ni Jambo la kawaida
Ule mtama ni ufunguzi rasmi. Siku Polepole akinizingua maana naye ana maudhi sana basi ajihesabie kwenda kutua ZanzibarNakukubalia kabisaaa, mchomvu hata ukimsikiliza kwenye radio huwa anaongea matusi, Mimi mwenyewe niliwahi mkataza mume Wangu asisikilize kipindi chao kile na nikamwambia kuwa hao vijana hawajitambui wanavuta bangi hao maaana kile kipindi wanaongea tu matusi na huyo mchomvu ndio anaeongoza kuongea matusi, na hiyo inaonyesha kuwa ni mvuta bangi, na Kama sio mvuta bangi hangewexa kufanya kitendo Kama kile mbele Ya kamera, Wakati anajua fika kuwa TV hutazamwa na mamilioni Ya watu, Kakosea Sana mno Na kaharibu Kazi Ya watu, hivi hajui kuwa tamasha lilikuwa linaangaliwa na rais? A. K. A. Yesu? Hana akiri hata kidogo Yule mchomvu