Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Channel ten na vituo vingine vinaangaliwa na watu wenye roho na wanaoishi..msio na roho au mliokufa hamuwezi kuangalia.Ila watu mna roho jamani...kuchek Chanel ten?dah hongereni
Hiyo haina ubishi na hao vijana kwa upumbavu wao wanakubali kudhalilika kisa posho.Ccm wanawapa vijana bhangi kisha wanapanddisha stejini
Wewe ndiyo hujitambui kabisaChannel ten na vituo vingine vinaangaliwa na watu wenye roho na wanaoishi..msio na roho au mliokufa hamuwezi kuangalia.
Hili ndio jambo lililokusanya watu uhuru.aisee wasanii ni hewa hawaWakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu.
Ni aibu lakini nimeona ameitwa pembeni nadhani wameenda kuyamaliza.
Anaye support CCMMawazo ya mtu asiye na akili.
Lete ya Simu MkuuHiyo hapo S1072/0102
Siongei na viumbe wasio na roho mimiWewe ndiyo hujitambui kabisa
Oho sawa mchapakaziNdiyo mkuu mwaka huu Raisi nampigia kura Magufuli...nimefurahishwa na uchapakazi wake.
Haya maccm tuyapige ngwala na tuyachonganishe yapigane ngwala.Ila nasikitika kutoona video ya ngwala aliyopigwa mbasha mwenye nayo angeitupia humu,ingependeza zaidi iwe ya slow motion tuone step by step za athari za mtama mpaka mlengwa anavyotua chini
Mbona hawakuvaa wengi, B12 hakuvaa, Jonijo hakuvaa, Dokii hakuvaa, Shilole hakuvaa, dogo janja hakuvaa, Wasanii wengi watangazi na ma DJ hawakuvaa. Au wee ni mbasha?Huyu jamaa kaacha maswali mengi ukichukulia ni mtu wa Arusha kule inakotoka CHADEMA.
Alikuwa na nia ya kuchafua tamasha la CCM ? Maana sasa tamasha halijadiliwi, linajadiliwa tukio hilo tu?
Kwa nini baada ya tukio alisifiwa sana na makada wa CHADEMA?
Kweli hata mimi hiyo na star TV siangaliagi kabisaIla watu mna roho jamani...kuchek Chanel ten?dah hongereni
Chade' sidhani kama hata wangeruhusiwa kufanya ilo Tamasha, wangeambiwa lina maudhui ya kufanya kampeni 🤣 🤣 😡 nchi haiishagi double standard yaani full vituko..Wakuu,
Jana tumeona Mtangazaji Adam Mchomvu akimpiga buti Bwana Emmanuel Mbasha Jukwaani, kama vile haitoshi, Adam akamfuata Backstage na kutaka kuendelea kumpa kichapo.
Hii ni Baada ya Mbasha kumusema "Adam unajua wewe Banghe" sana Jukwaani.
Kitendo kile cha aibu na kihuni kimetokea kwenye tukio lilirotabiwana Chama cha Mapinduzi CCM
Sio Ustaarabu na wala sio Maadili ya ki Tanzania Mtu kumuita mwenzake Banghe Kwenye kadamnasi, yaani unamuita Mwenzako anatumia mihadarati, tunajua Banghe ni haramu kwa Sheria zetu,na iko kwenye category ya Madawa ya Kulevya.
Pia Kitendo cha Adam kumchapa Mbasha pia ni cha kihuni na ni jinai,japokuwa ni dhahiri alikuwa provoked na Mbasha.
Kama Wananchi wenyeMapenzi Mema na Taifa letu, Tunamtaka Msajili wa vyama vya Siasa kukiandikia Chama cha Mpinduzi Barua kuonesha na kukuchukulia hatua kali za Kinidhamu kwa tukio la Jana.
Tunajua ingekuwa ni CHADEMA tayari Msajili angeshatia neno
uyo aliempga mwenzake kwa kuitwa bangi sana sio sawa, binafsi sivuti na sijawahi lakini nimeshaita watu sana "we bangi unajua" na hakukua na reaction ileWasanii wangapi wamechafuka kwa kuambiwa wanavuta bangi??? Bangi ni sehemu ya vifaa vya kazi vya wasanii wengi! Na wasanii na entertainers wengi wanavuta bangi na wanajulikana na hawajawahi kushuka umaarufu kisa wamefichuliwa wanavuta bangi. Hata hivyo kimjini mjini The term "bangi sana" ninavyoelewa haimaanishi mtu anavuta bangi, humaanisha MKALI sana au ANA VITUKO SANA . Huyo Mchomvu atakuwa mshamba na akili zake zina mapungufu. Mtu mzima kumpiga teke au ngumi mtu mzima mwenzako ni wazi ni mshamba na mjinga
Kwa sababu mchomvu alitoa kauli husika kama sehemu ya kutimiza majukumu yake ya kikaziSio kwamba umemuelewa Mchomvu tofauti na nilivyomwelewa mkuu?
Kwanini ufikiri sasa mimi ndiyo nilikimbia umande na sio wewe.
Hapana yangeitwa maandamanoChade' sidhani kama hata wangeruhusiwa kufanya ilo Tamasha, wangeambiwa lina maudhui ya kufanya kampeni [emoji1787] [emoji1787] 😡 nchi haiishagi double standard yaani full vituko..