Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Nilicho observe ni kuwa vijana wengi wa Arusha waliopo humu jamvini wameshapoteza ile anonymity na Kwa ujinga wao wame blow identity zao kiasi kwamba hawawezi tena kwenda aganist state kwa kukosoa wamebaki kuimba na kusifu tu, Kuna kitu walianzisha umoja wa wana Arusha waliopo jamvini wana saidiana saidiana na hicho ndio kimewaondolea ile kauli mbiu ya kuwa here we dare to talk openly kwa kuji expose na kublow cover zao,
Tunajua ni Fisi waliova ngozi za kondoo ila tu ijulikane kuwa JPM is here to stay na Mitano tena uhakika mimi binafsi tu mpaka sasa nina kundi kubwa tayari ambalo lita vote kwa Magufuli
Tunajua ni Fisi waliova ngozi za kondoo ila tu ijulikane kuwa JPM is here to stay na Mitano tena uhakika mimi binafsi tu mpaka sasa nina kundi kubwa tayari ambalo lita vote kwa Magufuli