Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru




Nimemuonea huruma huku nacheka!😂😂😂😂😂
 
Duh! Naona imekuwa fashion maana huko Somalia Rais na Makamu wamepigana hadharani kabisa
 


Hapana ntakuwa tofauti kwa wote acheni kutetea vitu vya kihuni na kibangi bangi kama alivyofanya Adam Mchomvu kaanza kum outsmart Mbasha mwenyewe then Mbasha katika kuongea ilikuwa Lugha ambayo mosty people wanaitumia katika maongezi ya kawaida,
Ushahidi wa kwanza Mbasha alikuwa anacheka akawa kama kaenda kumkumbatia jamaa ndo akawa kakasirika na kumpiga mtama,

Aliyejiout smart wa kwanza ni Adam imeonyesha dhahiri anavuta kweli hayo mabangi pili kakosea kwa kumpiga jamaa Mbasha Mtama hadharani tena msanii mkubwa ambaye yuko kwenye game over 15 Years ni utoto wa hali ya juu

Acheni kushabikia ujinga Adam ndio kazingua mnooo
 
Niaangalia kwa makini, hakika Adam Mchomvu kwa ulichofanya kama host duniabnzima inakushangaa host wa Kipindi kikubwa na radio bora kufanya mambo ya kitoto umedhihirisha ulimwengu kweli unatumia hicho kileo

Omba msamaha fasta mambo yaishe kwa mbasha ule ni utani tu kakukumbatia ukamla shoka dah
 
Dah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vichaa wawili jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…