feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
- Thread starter
- #221
Umesoma vizuri nilichoandika boss?
Hapana ntakuwa tofauti kwa wote acheni kutetea vitu vya kihuni na kibangi bangi kama alivyofanya Adam Mchomvu kaanza kum outsmart Mbasha mwenyewe then Mbasha katika kuongea ilikuwa Lugha ambayo mosty people wanaitumia katika maongezi ya kawaida,
Ushahidi wa kwanza Mbasha alikuwa anacheka akawa kama kaenda kumkumbatia jamaa ndo akawa kakasirika na kumpiga mtama,
Aliyejiout smart wa kwanza ni Adam imeonyesha dhahiri anavuta kweli hayo mabangi pili kakosea kwa kumpiga jamaa Mbasha Mtama hadharani tena msanii mkubwa ambaye yuko kwenye game over 15 Years ni utoto wa hali ya juu
Acheni kushabikia ujinga Adam ndio kazingua mnooo