Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Umesoma vizuri nilichoandika boss?
Hapana ntakuwa tofauti kwa wote acheni kutetea vitu vya kihuni na kibangi bangi kama alivyofanya Adam Mchomvu kaanza kum outsmart Mbasha mwenyewe then Mbasha katika kuongea ilikuwa Lugha ambayo mosty people wanaitumia katika maongezi ya kawaida,
Ushahidi wa kwanza Mbasha alikuwa anacheka akawa kama kaenda kumkumbatia jamaa ndo akawa kakasirika na kumpiga mtama,

Aliyejiout smart wa kwanza ni Adam imeonyesha dhahiri anavuta kweli hayo mabangi pili kakosea kwa kumpiga jamaa Mbasha Mtama hadharani tena msanii mkubwa ambaye yuko kwenye game over 15 Years ni utoto wa hali ya juu

Acheni kushabikia ujinga Adam ndio kazingua mnooo
 
Tamasha lolote lililogubikwa na laana ya Mungu ni lazima vurugu au mauaji yatokee , jionee mwenyewe
 
Attachments

  • Kesi ya Adam Mchomvu na E Mbasha _sob__sob__sob_ Back stage palinuka kinomaaa _sob__sob__sob_ ...mp4
    5.4 MB
Ngumi ndio heshima Kwa mwanaume yeyote yule, unachokishangaa wewe ni nini na wewe ni mwanamke?

Eti limegubikwa na laana ya Mungu, ina maana Yale mawe ya wahuni wa Kia kwenye msafara wa Lisu, ni Lisu analaana ya Mungu? We vipi?
 
kwa taarifa yako tamasha lile 80% ni mamluki
 
Back
Top Bottom