Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hivi sasa mitambo imezimwa na ngumi zimeanza upya! Anayebisha a.tune 88.5 FM Dar
Hebu fungulia Clouds FM uone kama ipo hewani, halafu uje tena kutuambia ni kamchezo kamepangwa! Ngumi zinaendelea!iyo nguvu au swali?
Ukishindwa kuelewa mambo madogo, makubwa hutoweza kabisa.
anajua utangazaj sema abehave, akue na aache usela!
kwi kwi...usikute adam mchomvu huyo manake ana utani fulani hivi wa kuchekesha....sana
ule hauwez kuwa ni utan. huon hata kufunga kipind kaja kufunga raymond tena huku akihema na muda wa kipind kuisha ukiwa bado
Radio ya wahuni.....Watangazaji wahuni....Vipindi vya kihuni..
jaman habar hii ni ya kweli, mi sikurupuki kama ww, unae lia lia hapa, am serious
wameanza kutaniana kuhusu cd za fiesta, basi ukaingia ugomvi wakaanza kutukanana huku wapo on air.
source: Mimi mwenyewe
Mwenye kujua zaidi atuhabarishe