Adam Mchomvu, Fetty na B12 watupiana maneno mazito studio huku wakiwa hewani

Hao jamaa wamejipanga kwa promo ya hiyo album, walewale waliogombana studio ndio haohao wanaojaribu kuwaaminisha watu kwenye mitandao kuwa ugomvi ni wa Ukweli.

Fungueni akili mnachekwa hapa.!
 
We ushangai radio gani ukijua tu kuongea unapewa studio hata kama hujasomea na hujui ethics za utangazaji...
 
Eeeh watangazaji ndyo mameneja....presenter kuandaa ndyo mwanzo wz mbeleko kwa wasiojua
 
Sijui kama utapata jibu humu maana hakuna mwana JF anaesikiliza Clouds FM, anyway kama unafikiri natania subiri uone kama mada yako itapata wachangiaji zaidi ya watu kuulizana habari zao kama eg hivi Marekani na Ubelgiji walifungana ngapi ngapi

Wewe ndio husikilizi baada ya kukatazwa na Mbowe. Usitusemee bana.
 
Ninazo zote hapa.....msaada namn ya kuziweka hapa.
 
Uzi umeanzishwa na makanjanja wa hiyo media, wamefanikiwa kuwateka waliojirahisi ila mimi bado naiona hiyo media na watumishi wake ni maboga tu.
 
ukanjanja sasa kumbe kila sehemu,wenye brand wanajua unatumia jina lao au....
 

Tz nchi ya 9 kutoka mwisho duniani yenye watu walio na IQ ndogo.
 
Dalili za kugombana zipo muda mrefu, na kama uongozi walikuwa hawaoni hilo basi ni uzembe wao na sasa wamevuna walichopanda....labda kama uongozi huwa hawafuatilii vipindi vyao (hakuna msimamizi wa vipindi)

Fetty ana tabia za KUreact violently kwa wenzake na hata wageni/wasanii, Adam naye ana tabia sugu ya uchokozi kwa watangazaji wenzake na hata wageni/wasanii wanaofika studio...kama kumbukumbu zangu ziko sawa kwa kuwataja wachache...Fid q, Dully...nimewahi KUnotice wakikwazwa na Adam...na kama ni kushikana mashati nilishaliona hili...haswa kati ya Adam na msanii....
 
i have never attended fiesta show, siwezi kunyonywa na hawa wapuuzi
 
Malezi nayo yanachangia,wavumiliane tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…