Adam Mchomvu kidogo amtembezee kichapo Ney wa Mitego bar

HII NI MARA YA 3 NASIKIA HUYO MCHOVU ANAPIGA WAZEMBE.

NAMTAMANI SANA HUYU JAMAAA

NAOMBA MWENYE NAMBA YAKE AISEE, NITAMKANDA HUYU KU.MANI

NIKO SERIOUS NIPENI NAMBA YAKE,
 
Watu waliokuwa karibu na mastaa hao walimshika Mchomvu na hivyo wakafanikiwa kuokoa maisha ya Ney wa Mitego yaliyokuwa hatarini.
😁 😁 😁 😁 😁 😁

Maisha ya Ney yalikua hatarini au sio?
 
Jana mida ya saa 5 usiku katika baa moja maarufu maeneo ya Sinza (jina kapuni) kulitokea patashika baada ya mtangazaji Adam Mchomvu na msanii Ney wa Mitego kukutana.

Chanzo cha ugomvi huo ni baada ya Mchomvu kupata kopi ya singo mpya ambayo haijatoka rasmi kutoka kwa Ney ambayo kuna jina la Mchomvu limetajwa ndani.

Watu waliokuwa karibu na mastaa hao walimshika Mchomvu na hivyo wakafanikiwa kuokoa maisha ya Ney wa Mitego yaliyokuwa hatarini.
Mchomvu kutwa mi ugomvi tu😁 😁 shida ni bange
 
bianfsi naona mchomvu ndio kaokolewa hapo, ney ni muhuni haswa
 
Kweli ney alivyombavu anatingishwa huyo junk mlaa cocain kama nyoka...Labda kama ni vita ya silaha, Lkn mtu mbili hahahaaa Adam 0 - 5 ney [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Adam angepigwa hadi achakae, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
HII NI MARA YA 3 NASIKIA HUYO MCHOVU ANAPIGA WAZEMBE.

NAMTAMANI SANA HUYU JAMAAA

NAOMBA MWENYE NAMBA YAKE AISEE, NITAMKANDA HUYU KU.MANI

NIKO SERIOUS NIPENI NAMBA YAKE,
Kaa tayari kuchomwa kwa bisibisi ukafanywa neti mkuu kaskazini hatujawahi kukaa kizembe
 
Back
Top Bottom