Adam na Hawa walikuwa wawili hapo kale?

Adam na Hawa walikuwa wawili hapo kale?

je miaka 5000 baadae yale masokwe mtu yatakua binadamu ? Mkuu funguka zaidi ..fikiri
aaaa naona natwangwa maji kwenye kinu hapa, eti fikiri! We ndo ufikiri, naona hujui moja kuhusu theories za human revolution.
 
QURAN inasema zimepita zama nyingi sana ulimwenguni hakukuwa na kiumbe binaadamu ,hii dunia ilikuwa na viumbe wengine wasiokuwa binaadamu inasema hii dunia ilikuwa inatawaliwa na majini baada ya kuona majini wanapigana na kuuwana ndipo Allah akaamua kumuumba kiumbe aitwae binadamu,
QURAN inaeleza namna binadamu wa mwanzo namna alivyoumbwa ni hivi ifuatavyo:
Mungu (Allah) alimtuma malaika izrail aje duniani kuchukua udongo ili aumbwe binadamu ndipo Mungu akamtengeneza binaadamu wa kwanza baada ya kumpulizia roho Mungu akawaagiza malaika kumpa heshima adam kwa kumsujudia
Baada ya kuumbwa adam ndipo Mungu(Allah)akaweza kumuumba Hawa kutoka katika ubavu wa adam as ili iwe ni kitulizo cha nafsi na kuzaa watoto ,
Ndipo Mungu akatengeneza system yake kwa wakati huo ili watu wazaliane ,hawa alikuwa anazaa kila siku asubuhi na jioni mungu amewawezesha kuzaa hivyo ,wakaruhusiwa kuoana wao kwa wao ili wawe waijaze dunia hii ndio wakaweza kuzaliwa watoto wengi sana ,ndipo baada ya watu kuwa wengi na nabii adam na hawa kuondoka duniani ndipo Allah(Mungu)akamleta nabii NUHU kuja kuwaelimisha watu kumuamini na kumuabudu Allah(MUNGU) na sio kuabudu asiyekuwa yeye ,nuhu aliwalingania watu hao kwa kipindi cha miaka 900 takribani alipta wafuasi wachache sana idadi imenipita kidogo ,ndipo dunia ikaghariki na waliopona ni waliopanda jahazi la nuhu,
Huo ndio mchakato ulivyokuwa nimetohoa ktk Qur an
 
nadhani hujaelewa point yangu
mimi sikubaliani na kauli inayosemwa na vyanzo kuwa binaadamu wa kwanza alikuwa adam ila katika hii dunia kipindi hicho mungu aliumba watu wengi sana na tena wote walitokana na udongo ila si kweli kuwa dunia ilikuwa na watu wa wili tu yaani adamu na hawa....

Nadhani
umenielewe ndugu nilichokimaanisha

Huwezi kumwaga maandishi tu kama kichaa anayevua nguo hadharani; hata huyo kichaa watu watataka kujua ni kwanini anavua nguo hadharani na sisi tunataka kuona hizo hoja zako zinazoonyesha ukweli huo sio kutoa matamko tu bila basis. Hata mimi leo hii nikijitokeza humu na kusema sio kweli Sir Isaac Newton ndiye mtu wa kwanza kugundua nguvu ya uvutano watu watataka kujua background ya hoja yangu ili wajifunze kitu kipya.
 
Baada ya gharika kipindi cha Nuhu, wana watatu wa mzee Nuhu walizaa makabila tofauti wenye rangi tofauti wenye rangi ya brown, black, white na yellow. Kwa hiyo rangi si hoja wote wakimwamini Yesu wataokoka, Amen...!!!???

Huyo yesu ametokea wapi hapa wakati kipindi hicho hakuwepo ?acha ushabiki haukufikishi popote
 
Dah! inahitaji imani ya ziada kuamini hili.
 
Kwann mungu aseme na tuumbe mtu kwa mfano wetu, na sikusema tuumbe kitu kwa mfano wetu, je kulikuwa na watu wasio mfano wa mungu, kama adam ni first creation why aliitwa mtu pasipo kuwepo.
 
najibu kwa reference ya Biblia na si vinginevyo kuwa Yesu alikuwepo wakati wa uumbaji, kasome vizuri huku unatafakari (usisome kama hadithi) Mwanzo 1:26 na Yohana 1:1-18, iwapo kama kuna sehemu haujaelewa basi uliza ili tueleweshane vizuri
Hii thread naomba mods waifute mpaka mwanzisha thread aje na vielelezo vya kutosha, vifungu vya bible etc. Sio kuja na story za vijiweni humu.

Ifungwe kama ilivyofungwa ya Jason Bourne aka Yericko Nyerere kuhusu Zitto.

Huyo yesu ametokea wapi hapa wakati kipindi hicho hakuwepo ?acha ushabiki haukufikishi popote
 
Kwann mungu aseme na tuumbe mtu kwa mfano wetu, na sikusema tuumbe kitu kwa mfano wetu, je kulikuwa na watu wasio mfano wa mungu, kama adam ni first creation why aliitwa mtu pasipo kuwepo.

Tafadhali Soma kitabu cha Mwanzo 1:1-31, within lines, huku ukitafakari usisome kama hadithi - hakuna uumbaji wa binadamu uliofanyika kabla ya Adamu na Hawa
 
Hii thread naomba mods waifute mpaka mwanzisha thread aje na vielelezo vya kutosha, vifungu vya bible etc. Sio kuja na story za vijiweni humu.

Ifungwe kama ilivyofungwa ya Jason Bourne aka Yericko Nyerere kuhusu Zitto.

ndugu kwani kipi ambacho hakipo wazi ? Tatizo umzito kufikiri
straight mbona , BINAMAMU WA KWANZA HAKUA ADAMU,
1.Dunia iliumbwa tangu kale na mungu na ilikua tupu hapo kabla ila walikuepo malaika wanamtii mungu na hawakuwa binadamu
2. Mungu akaona isiwe tupu akaleta mbegu katika ardhini na malaika walikuwa wanaona dongo lile mwisho wa siku likaota viumbe wa aina tofauti unaowajua wewe pamoja na binadamu tofauti tofauti na wote walikuwa madongo tena yasio na utambuzi wa baya au zuri na akiwemo huyo adam
3.chanzo hayo hayo maandiko matakatifu unayoyajua
BIBLE NA QURUAN
 
Tafadhali Soma kitabu cha Mwanzo 1:1-31, within lines, huku ukitafakari usisome kama hadithi - hakuna uumbaji wa binadamu uliofanyika kabla ya Adamu na Hawa

mkuu nimesoma vizuri labda ni kuulize wewe adam ni baba wa ulimwengu je ndio wakwanza kuwa udongo ama?
 
aaaa naona natwangwa maji kwenye kinu hapa, eti fikiri! We ndo ufikiri, naona hujui moja kuhusu theories za human revolution.

kaka ukienda huko utajichanganya tu
MUNGU ALIUMBA KILA KITU KATIKA ULIMWENGU HUU SIO MASOKWE PEKEE THEN NDIO YA KABADILIKA ....LABDA ULIKUA UNATAKA KUNIAMBIA NINI KUHUSIANA NA MASOKWE RELATING TO HUMAN REVOLUTION?
 
Kwa leo tuiite "human Evolution "
 
QURAN inasema zimepita zama nyingi sana ulimwenguni hakukuwa na kiumbe binaadamu ,hii dunia ilikuwa na viumbe wengine wasiokuwa binaadamu inasema hii dunia ilikuwa inatawaliwa na majini baada ya kuona majini wanapigana na kuuwana ndipo Allah akaamua kumuumba kiumbe aitwae binadamu,
QURAN inaeleza namna binadamu wa mwanzo namna alivyoumbwa ni hivi ifuatavyo:
Mungu (Allah) alimtuma malaika izrail aje duniani kuchukua udongo ili aumbwe binadamu ndipo Mungu akamtengeneza binaadamu wa kwanza baada ya kumpulizia roho Mungu akawaagiza malaika kumpa heshima adam kwa kumsujudia
Baada ya kuumbwa adam ndipo Mungu(Allah)akaweza kumuumba Hawa kutoka katika ubavu wa adam as ili iwe ni kitulizo cha nafsi na kuzaa watoto ,
Ndipo Mungu akatengeneza system yake kwa wakati huo ili watu wazaliane ,hawa alikuwa anazaa kila siku asubuhi na jioni mungu amewawezesha kuzaa hivyo ,wakaruhusiwa kuoana wao kwa wao ili wawe waijaze dunia hii ndio wakaweza kuzaliwa watoto wengi sana ,ndipo baada ya watu kuwa wengi na nabii adam na hawa kuondoka duniani ndipo Allah(Mungu)akamleta nabii NUHU kuja kuwaelimisha watu kumuamini na kumuabudu Allah(MUNGU) na sio kuabudu asiyekuwa yeye ,nuhu aliwalingania watu hao kwa kipindi cha miaka 900 takribani alipta wafuasi wachache sana idadi imenipita kidogo ,ndipo dunia ikaghariki na waliopona ni waliopanda jahazi la nuhu,
Huo ndio mchakato ulivyokuwa nimetohoa ktk Qur an

mtazamo wa kiroho wamesema hivyo! Ila sio wa kwanza
 
Tafadhali nilishauri usome within lines na utafakari wakati unasoma, naona haukufanya hivyo ila umesoma vizuri kwa maana hayo maandishi yanasomeka tu maana yameandikwa, na ndio maana umeuliza hilo swali!
1.Katika kitabu cha Mwanzo hakuna sehemu iliyosema kuwa Adamu alikuwa baba wa ulimwengu, pia
2.Adamu hakuwa wa kwanza kuwa udongo, ila Adamu aliukuta udongo
3.Labda kama sijaelewa maswali yako, ila nashauri tena usome vizuri hizo aya za Mwanzo 1:1-31 yapo open labda wewe unasoma Mwanzo ya kitabu kingine "sio Biblia ninayoirejea", matokeo yake unakimbilia kujibu hoja tu bila majibu
mkuu nimesoma vizuri labda ni kuulize wewe adam ni baba wa ulimwengu je ndio wakwanza kuwa udongo ama?
 
Huwezi kumwaga maandishi tu kama kichaa anayevua nguo hadharani; hata huyo kichaa watu watataka kujua ni kwanini anavua nguo hadharani na sisi tunataka kuona hizo hoja zako zinazoonyesha ukweli huo sio kutoa matamko tu bila basis. Hata mimi leo hii nikijitokeza humu na kusema sio kweli Sir Isaac Newton ndiye mtu wa kwanza kugundua nguvu ya uvutano watu watataka kujua background ya hoja yangu ili wajifunze kitu kipya.

bible na quruan ndugu ukisoma vifungu ina mleta adam katika kundi la kiroho ndio wa kwanza kumjua mungu ila sio binadamu wa kwanza kuishi katika dunia hii
mungu anasema ameleta viumbe vingi vimeota kama mimea ili kuujaza ulimwengu -rejea quruan
kutoka katik bible ina summarize kuwa adam ni baba wa ulimwengu kiroho tu na SIO BINADAMU WA KWANZA na ndio maana unatakuta kunacontradiction katika maisha yake na watoto zake ikiwa ukiamini kuwa ni binadamu wa kwanza
 
Kwann mungu aseme na tuumbe mtu kwa mfano wetu, na sikusema tuumbe kitu kwa mfano wetu, je kulikuwa na watu wasio mfano wa mungu, kama adam ni first creation why aliitwa mtu pasipo kuwepo.

kulikua na watu sema lengo hapo ni kiroho i mean mtu atakaye mkubali mungu.
Unaijua roho ndugu ?
Kama adam alikuepo kwanini alipuliziwa roho ..
Fikiri
 
Back
Top Bottom