Adamu Mchomvu usiposhika adabu, yatakukuta kama yaliyomkuta Chidi Benzi "mikono mfululu"

Kumbe mzee mjinga mpumbavu Kimbunga MC alishawahi kumpasua Benzino 🤣🤣🤣🤣
By the way natafuta nyimbo ya kimbunga MC Ile mzee mjinga mpumbavu na natuma salamu
 
Kumbe mzee mjinga mpumbavu Kimbunga MC alishawahi kumpasua Benzino [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
By the way natafuta nyimbo ya kimbunga MC Ile mzee mjinga mpumbavu na natuma salamu
Huyo mwamba hataki masihara chidi alichezea kichapo Tena kipindi kile chidi mtu kweli body la maana haujaporomoka na madawa .
 
Unajua nini, mtu akishakuwa na followers milioni 3 IG, kufeli labda afe
 
Daah Daslm mnalalamika sana yaani muhuni mmoja anawapiga kila atakavyo harafu mnakuja kuandika huku eti mnamfundisha...
 
Wakiwa wapii mkaliii???
 
Asipobadilika, au asipofuata ushauri huu, YATAMKUTA MAMBO..!!
 
Q chillah nae kama Mwanaume alipopigwa akatulia tuu?

Au alikuwa mgonjwa
 
Kuna interview DJ fetty alifanya na Salama, Fetty anasema Adam aliwahi kujamba studio makusudi ,sasa unaeza kuelewa jamaa ana akili gani
Kujamba ni kawaida otherwise awe anajamba kila dakika ambayo kiitaalamu tunaita bwabwa..))
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…