Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 661
- 2,204
Ni hivi ....CRDB hana haki yoyote na Azam TV wala Boko....Kwa hiyo tangazo ni sehemu ya 'popote pale' ? Kwamba CRDB wanaweza kudownload picha ya John Bocco kupitia Azam Tv na kujitangaza kwa kupitia hiyo picha?
Ila Azam TV anamkataba na bodi ya ligi ...kisha na pia timu zote zinazocheza ligi kuu ..
Mfano Azam TV analipa bonasi kuanzia mshindi wa kwanza mpaka wa mwisho ...
Bonasi hizo zimetokana na kuwa na haki ya kutangaza na kupiga picha timu zikiwa michezoni ...
Sasa Yanga amepost picha ya mchezo Fulani wa ligi kuu .. Ruhusa ya kuimiliki hiyo picha anayo kutoka Azam TV ...
Na ruhusa hiyo anayo kwa kuweka picha hiyo kama habari ...kwenye social media au popote pale ...
Ingekuwa Yanga ametengeneza picha labda Geita 1 YAnga 7 ..na picha hiyo haipo Azam TV na Geita hana hayo matokeo...hapo kungekuwa na angalau mashiko