blackcrow
Member
- Sep 24, 2020
- 21
- 43
anasema sehem ambayo watu wote wata pata chakula kwa bei za viwango na siyo local sanaDah.. Sijui nikwambie nini Mkuu, wazo lako zuri ila halitekelezeki, wenye hela nao wakisema "bus zinasimama kula sehemu local sana tunataka sehemu zenye chakula kisafi kisichodhuru tumbo" ITAKUAJE?
Then next time weka paragraph.
na asilimia kubwa ya watu wanao tumia mabasi huwa ni watu wa hali ya kawaida(kati) kimaisha wachache sana ndy wenye pesa na atakama unapesa kama unataka chakula cha bei si ungepanda ndege unakuja kujiminya kwenye mabasi uku