cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Zingine zinakua za juzi aaaah, kero tupu.Vyakula bei sana nyama zenyewe zinabanikwa alafu hazijaiva na ni makambakamba tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zingine zinakua za juzi aaaah, kero tupu.Vyakula bei sana nyama zenyewe zinabanikwa alafu hazijaiva na ni makambakamba tu.
Ww ushakua addicted pale ..hilo pepo la kutamani msiba ujirudie ikutoke in Jesus name[emoji38].Ila kiukweli safari za kaskazini dar nafurahia sana kwaajili ya madiko diko pale.Hawawezi kufunga kwakua misiba ni mingi sana sana. Pia kuna madereva wa malori. Huwa wanatoaga oda. Yaan nakumbuka last time msiba wa babu mpk nikasema jamani si ijirudie tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24]yaan watu wanakula na kunywaa[emoji119][emoji119] utasema sendoff. Mkifika mnasema sisi ni wateja fulan ama wa usafiri fulani. Tulikua na coaster 10. Me sikuona kama ni msiba kwakweli. Jamaa abarikiwe sana aisee. Na lile shamba lake la migomba big up sana. Kama Dar ex press wqsingezinguana maybe tusingepata kitu kizuri hivi.
Naona nimeanza uchawi mapema sana. Pale kuna madereva kama hawana hela hata wa magari wanaacha bill wanakujaga kuclear.
Safari ya DAR - MTWARA pale Nangulungulu huwa wanauza samaki wa kukaanga lakini wengi huwa wameharibika. Nilikula pale mwaka 2013 niliharisha siku mbili mfululizo. Nilishakoma kula samaki kwenye kituo hicho.Ajabu Dar-lindi-Mtwara au Dar-lindi-Masasi-Tunduru-Songea Vitu vimepoa, pale Tunduru mshikaki wa jero mkubwa tu na chipsi bei ya kizalendo 1500k kiufupi njia ya Kusini haina stress ila sasa nenda Aljazeera, Doma na pale Mafinga ukishavuka kinyanambo Sambusa Buku pumbavu zao.
Dah.. Sijui nikwambie nini Mkuu, wazo lako zuri ila halitekelezeki, wenye hela nao wakisema "bus zinasimama kula sehemu local sana tunataka sehemu zenye chakula kisafi kisichodhuru tumbo" ITAKUAJE?
Then next time weka paragraph.
Sio ninazopenda Mimi, Mimi ni mtu tu, issue ni kwamba kwenye mambo ya public ni ngumu kumridhisha kila mtu, uweke vituo viwili vya kula safarini? Hayo yatakua maskhara Mkuu.Basi kuwe na vituo viwili vya kusimama kula chakula cha mchana, sehemu za hadhi ya kawaida/ mchanganyiko na zile za juu kama unazopenda.
Sio ninazopenda Mimi, Mimi ni mtu tu, issue ni kwamba kwenye mambo ya public ni ngumu kumridhisha kila mtu, uweke vituo viwili vya kula safarini? Hayo yatakua maskhara Mkuu.
[emoji23][emoji23] yaani. Sijui kwann inakua hv. Mkiwa pale raha sana. Halafu wamama zetu ndo wananifurahisha sana[emoji23]. Maana wamama walikaa na mabinti zao. Ikifika mahali kuna supermarket dere anaambiwa chomeka hapo tukanunue dawa. Wanaingia wananunua katon zao za windhoek bana ndo dawa. Sinywi ila naenjoy mbaya. Yaan mnasahau machungu ya msiba kbs. Mkifika hotelin sasa ndo kabisaaaa.... tunamtaja marehemu huku tukimsihi afike salama kwenye hiyo safari yake ya milele sisi tunamsherehekea bana[emoji23][emoji23]Ww ushakua addicted pale ..hilo pepo la kutamani msiba ujirudie ikutoke in Jesus name[emoji38].Ila kiukweli safari za kaskazini dar nafurahia sana kwaajili ya madiko diko pale.
Nliona asee,Ila kwa sisi wachaga hiyo ni kawaida msiba kugeuka shereh hata mm siwezi safiri nipite pale rock hill bila kuweka vyombo kichwa ndio niendelee na safari[emoji23][emoji23] yaani. Sijui kwann inakua hv. Mkiwa pale raha sana. Halafu wamama zetu ndo wananifurahisha sana[emoji23]. Maana wamama walikaa na mabinti zao. Ikifika mahali kuna supermarket dere anaambiwa chomeka hapo tukanunue dawa. Wanaingia wananunua katon zao za windhoek bana ndo dawa. Sinywi ila naenjoy mbaya. Yaan mnasahau machungu ya msiba kbs. Mkifika hotelin sasa ndo kabisaaaa.... tunamtaja marehemu huku tukimsihi afike salama kwenye hiyo safari yake ya milele sisi tunamsherehekea bana[emoji23][emoji23]
Ule msiba wa Procorine Shayo wa tabata aliyejigongesha akafa uliona mambo yale? Unapata wapi muda wa kulia[emoji23][emoji23] kuna clio ilitembea sana mitandaoni watu wakijua ni christmas moshi kumbe msiba wa huyo jamaa yetu.
Dk5 kila mtu akatafute sehemu ya Bei anayomudu inawezekanaje?Utaratibu ulikuwa basi kuingia stendi kwenye mji ambapo abiria watachagua mojawapo ya hotel zilizopo karibu kupata huduma ya chakula. Huu utaratibu wa kuingia kwenye hotel iliyojengwa porini naona ni utaratibu mpya ambao mamlaka itabidi ziukemee...
Inashindikana nini kutoa nusu saa, au hiyo dk. 5 iko ndani ya katiba?Dk5 kila mtu akatafute sehemu ya Bei anayomudu inawezekanaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wamama wa kisasa a.k.a wa instagram ni balaa tupuVp Mama chibu aka dangote maana na yeye n Mama wa zaman ujue?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nangurukuru pale Pa hovyo tyuuuh. Vyakula vya juzi wanauza leo.Safari ya DAR - MTWARA pale Nangulungulu huwa wanauza samaki wa kukaanga lakini wengi huwa wameharibika. Nilikula pale mwaka 2013 niliharisha siku mbili mfululizo. Nilishakoma kula samaki kwenye kituo hicho.
Aisee pale nangurukuru ni noma sana kuna jamaa mmoja alikuwa anaenda mtwara kwenye interview sasa akapita hapo ili ajipatie samaki wa kusogeza siku aisee huwez amini yule jamaa baada ya kufika huko mtwara aliumwa sana alikuwa anaendesha usiku kucha ata Iyo interview aikufanyika tena so tuwe makini ya mavyakura aya kama unaweza chukua kuku wako mkaange na vichipsi ule wakat wa safar la sivyo watu watalalama sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nangurukuru pale Pa hovyo tyuuuh. Vyakula vya juzi wanauza leo.
Kabisaa yaan.Aisee pale nangurukuru ni noma sana kuna jamaa mmoja alikuwa anaenda mtwara kwenye interview sasa akapita hapo ili ajipatie samaki wa kusogeza siku aisee huwez amini yule jamaa baada ya kufika huko mtwara aliumwa sana alikuwa anaendesha usiku kucha ata Iyo interview aikufanyika tena so tuwe makini ya mavyakura aya kama unaweza chukua kuku wako mkaange na vichipsi ule wakat wa safar la sivyo watu watalalama sana
Mkuu, sisi maskini itabidi tubebe tu chakula,.Sasa wasafiri maskini watasaidiwaje?
Aisee Safi sanaNaona maombi yamekubalika big up View attachment 1680829