Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Dawa yao ni kujiandalia menu ya 7,000 from home! Kuku nusu 3,500 ukitia na viazi vya 2,000 unakula mpaka unavimbilwa.Kabisa mkuu. Hoja yako ina mashiko sana. Hawa wamiliki wa hizi sehemu za chakula wanaibia pakubwa sana abiria. Vichips vya 5,000 huwezi hata kushiba. Mshikaki wa 5,000 hata haufanani na hiyo bei. Bei zao zimekaa kuwaumiza abiria. Wanafanya hivyo wakijua lazima ule tu kwa sababu huna sehemu nyingine ya kwenda kula. Serikali tafadhali wasaidieni hawa wanyonge.
Achana na ule ushenzi wao wa kipaja na vichips mbili. Mkifanya mgomo wa aina hii kama abiria wale mbwa mahoteli watayafunga.
Binafsi ili kupunguza machungu na ili nishibe huwa natambaa na bufee kwa buku 7 hio hio na ninashiba.