Adha kubwa tuipatayo abiria tunaosafiri na mabasi ya mikoani

Adha kubwa tuipatayo abiria tunaosafiri na mabasi ya mikoani

Mkuu unatakiwa kujua kitu kimoja, staff wa bus wanaposimama sehemu kula ni kwamba hua wanakula bure na wanapewa posho kwakua wamepeleka wateja, so ukiona sehemu wanapenda sana kuwapeleka Abiria ujue wanamaslahi napo.
Nimekupata mkuu wangu
 
Ajabu Dar-lindi-Mtwara au Dar-lindi-Masasi-Tunduru-Songea Vitu vimepoa, pale Tunduru mshikaki wa jero mkubwa tu na chipsi bei ya kizalendo 1500k kiufupi njia ya Kusini haina stress ila sasa nenda Aljazeera, Doma na pale Mafinga ukishavuka kinyanambo Sambusa Buku pumbavu zao.
Hivi Mkuu Dar Songea via masasi nauli bei gani?
 
Serikali yetu hebu tusaidie wanyonge na hii tabia inazidi shamiri sna kwa wale ndg zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa wanapaki mabasi yao sehemu ya chakula bei zao ziko juu bila kujali abiria wao mifukoni mwao kuko vipi.

Chakula cha kawaida sana unakuta elfu 7 elfu 8 na kuendelea wakati hicho chakula hakina hadhi ya kuuzwa bei hiyo halafu kidogo sana. Hivi wanadhani kila mtu anapesa ya kumudu hiyo pesa?

Jana nilikuwa natoka Arusha kuja Dar tulipo fika sehemu ya chakula nilitamani kulia niliongozana na mom mmoja mwenye watoto wa 3 alivyoambiwa chakula cha bei ya mwisho ni elfu 7 alikuwa mnyonge sana na alikuwa na elfu 5 tu ikambidi anunue soda na biscuit roho iliniuma sana. Sasa ombi langu, serikali itoe sheria kwa mabasi yote yawe yanasimama kwenye mji ulio na huduma kwa wote sio kutupeleka maeneo ambayo wana masilahi nayo. Inaumiza sana.

Tusambaze hii kwa ma group mengi tusikike tusiwe wajinga kwa tetesi nilizo sikia dereva akipeleka basi sehemu ya hotel hupata huduma ya chakula bure yeye na watumishi wote wa gari na posho wanapewa kwa week au mwezi sasa iweje maslahi yao yatutese abiria?

Tupaze sauti kwa viongozi #Wabunge na viongozi wote wa juu kuwa hii ni 2021 inakera sana [emoji34][emoji34]
Tatizo serikali ya ccm
 
Nikisafiri Dar to Moshi au Moshi to Dar huwa natamani muda wa kuingia hoteli ufike[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani kila nikiwaza rock hill moyo wangu unajawa na furaha balaa[emoji23] nyama jamani nyamaaaa. Nyamaaa. Halaf ukiwahi napema zinakuaga tamu balaa. Watu wakishajaa waii.
 
Wamiliki wa mabasi wanajenga hotel zao Korogwe hivi sasa ile hoteli ya bei nafuu Mombo "Liverpool" kwishney
Transit ndo imekufa kabisaa. Ila alishajizolea za kutosha. Waarabu wa liver daah, wanapata wa lushoto tu sasa naona
 
Siku ingine beba chakula chako tokea nyumbani kuepuka hio adha, we beba kama ni kiporo chako cha maharagwe/dengu/kunde/vitumbua/mihogo.

Sio kila kitu kuchochea serikali iingilie kati.
Unachokisema hakiwezi kutekelezeka muda wote na kwa watu wote.
Kuna watu wanaishi wenyewe hata kupika chai hawajui
 
Mimi huwa napenda sana kusafiri Mchana ,kuna siku nilikua naenda zangu Njombe nikatoka na Upendo ya Mafinga kwenye saa asubuhi nafika Morogoro kabla ya msamvu kuna hotel hapa nyuma chuma ikaingia pale kaah hako kawali na nyama cha buku 5 dah jau kishenzi nilisonya tu.

Sehemu nyingine Doma nao wana bei vyakula vyao kiufuli hiyo njia imeoza kwa tamaa na ukiangalia ni njia kuu ya vyakula basi tu.
Yani we chalii unavyoandika nikicheki na avatar yako nakua naona kama braza K anaongea
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani kila nikiwaza rock hill moyo wangu unajawa na furaha balaa[emoji23] nyama jamani nyamaaaa. Nyamaaa. Halaf ukiwahi napema zinakuaga tamu balaa. Watu wakishajaa waii.
Tena hapo Rock Hill huwa wananikosha Sana hasa gari likiwahi mida ya saa tano hivi, pia Kilimanjaro hotel nao wapo vizuri.... Mimi huwa naweka kabisa bajeti ya kula hapo maana ndio starehe yangu kubwa kwenye safari na furaha inazidi nikiwa nimepata siti ya dirishani😁
 
Zamani tulipokua tunasafiri na OTC toka Dar kwenda Nairobi tukiwa wadogo, bi mkubwa alikua akitengeneza chapati za kutosha na nyama ya kuku, mkate na chai ya rangi kwenye chupa ya chai.

Kipindi tukifika Korogwe sisi tunaenda kukojoa Mara moja na kurudi ndani ya Basi na kula mikuku na chapati.

Sasa wamama wa siku hizi muda mwingi wako bize na kujirembua badala ya kuingia jikoni na kutengeneza hata ndizi za kuchoma au chapati.

Bure kabisa
Bimkubwa wako alikuwa vizuri
 
Nafikiri komenti yako inatosha kufunga huu uzi nakuunga mkono na miguu asilimia [emoji817] wamama wa zamani walikuwa wamama bora sanaa mimama ya siku hizi kutwa kushinda instagram kutafuta umbea na udaku na kuangalia vipodozi vya kujikoboa usoni. Nakumbuka nikiwa mdogo wakati wa kusafiri bi mkubwa alikuwa akipika vyakula kwa iyo tulikuwa hatupati shida kwenye suala la misosi, kwa Iyo mleta mada najua una nia njema na watanzania ila mimi nashaur kama mtu unataka kusafiri ni vyema ukaanda chakula chako mwenyewe home kuliko kuwaambia madereva wasiende kwenye maoteli yenye hadhi ni ngumu sana. neno langu la mwisho kama yote yatakushinda kununua misosi kwenye miotel ya garama au kujipikia mwenyewe basi ufunge tu kwa mda hata kesho yake utakula kwan kula lazima[emoji39][emoji39]
 
Huyo mama ulimsaidiaje na watoto?Hicho ndio cha msingi utuambie maana hata mimi roho imeniuma!Ila mimi nikiona watoto nanunua chakula kama nina uwezo kwa siku hiyo.Nakumbuka nilikuwa naenda songea,kufika Tunduru dogo mmoja akaomba nimnunulie msosi tulikuwa naye kwenye basi,ikabidi nimnunulie!Ila chakula Tunduru ni kichafu sana!Nakumbuka kuna siku nilinunua korosho nikawa nakula nikamgaiya na jirani yangu,mdada hivi,nilijuta saana yule dada alitapika saaana mpaka nikaogopa nikajisemea hapa nakamatwa kwa kuhisiwa najaribu kumlewesha nimuibie.
Tabia ya kulisha watu njiani sio nzuri utakuja kuingia sehemu ujute
 
Tena hapo Rock Hill huwa wananikosha Sana hasa gari likiwahi mida ya saa tano hivi, pia Kilimanjaro hotel nao wapo vizuri.... Mimi huwa naweka kabisa bajeti ya kula hapo maana ndio starehe yangu kubwa kwenye safari na furaha inazidi nikiwa nimepata siti ya dirishani[emoji16]
Ha ha ha kiukweli mimi Rock hill ndo kila kitu. Dar ex press hata sihangaiki nayo kwanza afanye marekebisho makubwa pale. Kilimanjaro si mzoefu sanaa.

Ila bana kipindi cha misiba[emoji23][emoji23] unajua kuna mida mpaka unaweza hata ukakufuru pale rock hill. Maana munatoa oda kbs. Yaan mkifika hapo hiyo kula na kunywa utafikiri hakuna marehemu mumemuacha kule parking. Yaani zile nyana na kampani ya kutosha[emoji23] mpaka nasemaga Mungu tusamehe tu. Hata mimi watanilia nyama na bia hapa hapa siku yangu ikifika. Yaani Mungu ambariki sana huyu jamaa kwa kuzinguana na mremi mpaka kuja kuwekeza pale[emoji119][emoji119] ngoja nipange safari kwanza nimeshazimiss
 
Mleta mada, kama sikosei hata scandinavia enzi zao watu walikua wanafungua mahotpot kabisa kwenye basi wanakula. Kinakushinda nini mkuu kifanya hivyo? At rimes pia tumekua na utaratibu huo. Mnanunua zenu makuku ya kienyeji, hata nyama tu, kuna soseji, chapati, chips etc. Waweza jibebea vile unavyomudu. Mbona sijawahi ona mtu akimshangaa mtu kwa kufanya hivi? Na nomeona pia watu wakibeba still ila hakuna wa kuwashangaa tena ndo kiko salama zaidi.

Sisi wengine si kwamba tuna hela hapana ila tunaangalia usalama wa afya zetu. Siamini katika basi kama kuna abiria zaid ya wawili watatu ambao walitamani kula popote. Binafsi pia siwezi kula kokote. Naangalia kwanza mazingira. Mambo ya kuhara na dereva ni mwendo wa masaa nani anataka mateso?
 
Zamani tulipokua tunasafiri na OTC toka Dar kwenda Nairobi tukiwa wadogo, bi mkubwa alikua akitengeneza chapati za kutosha na nyama ya kuku, mkate na chai ya rangi kwenye chupa ya chai.

Kipindi tukifika Korogwe sisi tunaenda kukojoa Mara moja na kurudi ndani ya Basi na kula mikuku na chapati.

Sasa wamama wa siku hizi muda mwingi wako bize na kujirembua badala ya kuingia jikoni na kutengeneza hata ndizi za kuchoma au chapati.

Bure kabisa
Comment bora kabisa

Like tu zinajieleza
 
Dah.. Sijui nikwambie nini Mkuu, wazo lako zuri ila halitekelezeki, wenye hela nao wakisema "bus zinasimama kula sehemu local sana tunataka sehemu zenye chakula kisafi kisichodhuru tumbo" ITAKUAJE?

Then next time weka paragraph.
Amekopi kutoka facebook bila kuhariri.
 
Ha ha ha kiukweli mimi Rock hill ndo kila kitu. Dar ex press hata sihangaiki nayo kwanza afanye marekebisho makubwa pale. Kilimanjaro si mzoefu sanaa.

Ila bana kipindi cha misiba[emoji23][emoji23] unajua kuna mida mpaka unaweza hata ukakufuru pale rock hill. Maana munatoa oda kbs. Yaan mkifika hapo hiyo kula na kunywa utafikiri hakuna marehemu mumemuacha kule parking. Yaani zile nyana na kampani ya kutosha[emoji23] mpaka nasemaga Mungu tusamehe tu. Hata mimi watanilia nyama na bia hapa hapa siku yangu ikifika. Yaani Mungu ambariki sana huyu jamaa kwa kuzinguana na mremi mpaka kuja kuwekeza pale[emoji119][emoji119] ngoja nipange safari kwanza nimeshazimiss
Mbona kawaida msibani wanakunywa na kula pia mpaka kut00mbna njiani msiba unaoenda usiku jamani. Watu wanapiga konyagi k vant za kutosha njiani mpaka ashki zinawapanda wanamalizana haja zao
 
Back
Top Bottom