Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suluhisho hapo ni kubeba chakula chako cha njiani.Serikali yetu hebu tusaidie wanyonge na hii tabia inazidi shamiri sna kwa wale ndg zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa wanapaki mabasi yao sehemu ya chakula bei zao ziko juu bila kujali abiria wao mifukoni mwao kuko vipi.
Chakula cha kawaida sana unakuta elfu 7 elfu 8 na kuendelea wakati hicho chakula hakina hadhi ya kuuzwa bei hiyo alafu kidogo sana. Hivi wanadhani kila mtu anapesa ya kumudu hiyo pesa?
Jana nilikuwa natoka Arusha kuja Dar tulipo fika sehemu ya chakula nilitamani kulia niliongozana na mom mmoja mwenye watoto wa 3 alivyoambiwa chakula cha bei ya mwisho ni elfu 7 alikuwa mnyonge sana na alikuwa na elfu 5 tu ikambidi anunue soda na biscuit roho iliniuma sana. Sasa ombi langu, serikali itoe sheria kwa mabasi yote yawe yanasimama kwenye mji ulio na huduma kwa wote sio kutupeleka maeneo ambayo wana masilahi nayo. Inaumiza sana.
Tusambaze hii kwa ma group mengi tusikike tusiwe wajinga kwa tetesi nilizo sikia dereva akipeleka basi sehemu ya hotel hupata huduma ya chakula bure yeye na watumishi wote wa gari na posho wanapewa kwa week au mwezi sasa iweje maslahi yao yatutese abiria?
Tupaze sauti kwa viongozi #Wabunge na viongozi wote wa juu kuwa hii ni 2021 inakera sana [emoji34][emoji34]
Huyo mama ulimsaidiaje na watoto?Hicho ndio cha msingi utuambie maana hata mimi roho imeniuma!Ila mimi nikiona watoto nanunua chakula kama nina uwezo kwa siku hiyo.Nakumbuka nilikuwa naenda songea,kufika Tunduru dogo mmoja akaomba nimnunulie msosi tulikuwa naye kwenye basi,ikabidi nimnunulie!Ila chakula Tunduru ni kichafu sana!Nakumbuka kuna siku nilinunua korosho nikawa nakula nikamgaiya na jirani yangu,mdada hivi,nilijuta saana yule dada alitapika saaana mpaka nikaogopa nikajisemea hapa nakamatwa kwa kuhisiwa najaribu kumlewesha nimuibie.
Kaka jiongeze. Huo mshkaki wa jero sio kabisa. Ingekua sehemu yanye mifugo mingi ningekuelewa
Kwa dhuluma zao ndio maana utagundua kuwa hizo hoteli nyingi huwa zinakufa baada ya muda mfupi,usicheze na Mungu hata kidogo...Serikali yetu hebu tusaidie wanyonge na hii tabia inazidi shamiri sna kwa wale ndg zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa wanapaki mabasi yao sehemu ya chakula bei zao ziko juu bila kujali abiria wao mifukoni mwao kuko vipi.
Chakula cha kawaida sana unakuta elfu 7 elfu 8 na kuendelea wakati hicho chakula hakina hadhi ya kuuzwa bei hiyo alafu kidogo sana. Hivi wanadhani kila mtu anapesa ya kumudu hiyo pesa?
Jana nilikuwa natoka Arusha kuja Dar tulipo fika sehemu ya chakula nilitamani kulia niliongozana na mom mmoja mwenye watoto wa 3 alivyoambiwa chakula cha bei ya mwisho ni elfu 7 alikuwa mnyonge sana na alikuwa na elfu 5 tu ikambidi anunue soda na biscuit roho iliniuma sana. Sasa ombi langu, serikali itoe sheria kwa mabasi yote yawe yanasimama kwenye mji ulio na huduma kwa wote sio kutupeleka maeneo ambayo wana masilahi nayo. Inaumiza sana.
Tusambaze hii kwa ma group mengi tusikike tusiwe wajinga kwa tetesi nilizo sikia dereva akipeleka basi sehemu ya hotel hupata huduma ya chakula bure yeye na watumishi wote wa gari na posho wanapewa kwa week au mwezi sasa iweje maslahi yao yatutese abiria?
Tupaze sauti kwa viongozi #Wabunge na viongozi wote wa juu kuwa hii ni 2021 inakera sana [emoji34][emoji34]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lolKuwa kama wapare .... wakifika liverpool wanatoa Makande yao kwenye Hotpot na kujisevia kwa gharama sawa na Bure [emoji23]
Tunaobebaga eet som more na kusubiri soda za kwenye bus haya hayatuhusu.Sijawahi kula njiani pindi nipo safarini, hiyo adha hainihusu.
Ila kuwe na ustaarabu ktk hili kunaumiza abiria wanyonge.
Ubaya hata hawakubali kukuuzia chips kavu.Kweli kabisa basi Vyakula viwe Graded ili kila mtu aweze kumudu kwa Kipato chako.
Wale matajiri wale pakitajiri ambao wengi wao ndo wako humu JF.
Maskini Kama sisi tutakula vya Buku 3000 Afu mbele.
Kwa Dar - Songea VIA lindi kupo vizuri ktk suala la bei ya vyakula,. tatizo lipo VIA Moro, pale mafinga na kitonga comfort, uwiiii bei ghali afu vyakula venye vya juzi aaaah. Kero tupu.
Me nikiwa nasafiri kutoka Dar kwenda Songea au Songea kuja Dar huwa sipati shida, maana nina matatizo yangu binafsi sili chakula njian, hiyo adha hainikuti huwa nawaonea huruma abiria wanyonge.Tamaa tu Mafinga niliuliza Sambusa nikaambiwa Buku nikageuza japo mfukoni nilikua na hela ya kutosha nikampigia simu jamaa angua aninulie wali pale Iringa mjini kuna mama anapika wali samaki mzuri kishenzi akaniletea ipogolo.
Me nikiwa nasafiri kutoka Dar kwenda Songea au Songea kuja Dar huwa sipati shida, maana nina matatizo yangu binafsi sili chakula njian, hiyo adha hainikuti huwa nawaonea huruma abiria wanyonge.
Msamala, ndo home.Songea sehemu gani unaendaga?