Adha kubwa tuipatayo abiria tunaosafiri na mabasi ya mikoani

Adha kubwa tuipatayo abiria tunaosafiri na mabasi ya mikoani

Kwa Mama Babu, yule mwalimu ambaye nyumbani kwake Kuna Grocery.
Mwalimu yupi huyo? Kwa Mama babu ni duka kubwa la jumla na reja reja, msamala nzima anajulikan, ila sio mwalimu yeye na mumewe ni wafanya biashara tyuuh.
 
Kesho nasafiri,nanunua mbuzi nusu kg aliyechomwa.Mbele kwa mbele ntanunua chips kavu,nyama ndo hupandisha bei
Hakunaga chips kavu njiani uchague chips na nini maini, au ng'ombe au kuku, ukibeba mbuzi beba na kisingizio
 
Mwalimu yupi huyo? Kwa Mama babu ni duka kubwa la jumla na reja reja, msamala nzima anajulikan, ila sio mwalimu yeye na mumewe ni wafanya biashara tyuuh.
Msamala bado kipengele kwangu, nilikuwa napata tabu Sana kufika mitaa ya Shule ya Miembeni kwenda Kwa jamaa yangu.
 
Msamala bado kipengele kwangu, nilikuwa napata tabu Sana kufika mitaa ya Shule ya Miembeni kwenda Kwa jamaa yangu.
Sasa si angekua anakusubiri pale kituo cha bajaji na bodaboda, au wee msahaulifu kuwa alisha kupeleka had kwake, ila huku mark road.
 
Kesho nasafiri,nanunua mbuzi nusu kg aliyechomwa.Mbele kwa mbele ntanunua chips kavu,nyama ndo hupandisha bei
nunua na ile foodwarmer container ya kutumia USB
unachomeka pale pa chaji chakula kinapashika unakula unashiba
 
Hii ni biashara huria, labda serikali ianzishe migahawa yake itakayoshindana na hao wafanyabiashara
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Serikali yako iache kununua ndege iwekeze humu
 
Chakula cha kawaida sana unakuta elfu 7 elfu 8 na kuendelea wakati hicho chakula hakina hadhi ya kuuzwa bei hiyo halafu kidogo sana. Hivi wanadhani kila mtu anapesa ya kumudu hiyo pesa?
Hiyo mi naona ni reasonable kutokana na nature ya biashara yao, unakuta sehemu ipo isolated na wateja ni abiria tuu na kwa majira maalum.
 
Dah.. Sijui nikwambie nini Mkuu, wazo lako zuri ila halitekelezeki, wenye hela nao wakisema "bus zinasimama kula sehemu local sana tunataka sehemu zenye chakula kisafi kisichodhuru tumbo" ITAKUAJE?

Then next time weka paragraph.
Sio kila sehemu wanazosimama chakula Chao ni standard, sehemu zingine vyakula ni vya ovyo kabisa lkn Abiria huna nguvu ya kumkatalia dereva asipaki gari hapo mfano wasafiri wa njia ya kwenda nyanda za juu kusini kuna sehemu inaitwa Al Jazeera chakula Chao ni kibaya mnoo lkn bei zake sasa
 
Mkuu unatakiwa kujua kitu kimoja, staff wa bus wanaposimama sehemu kula ni kwamba hua wanakula bure na wanapewa posho kwakua wamepeleka wateja, so ukiona sehemu wanapenda sana kuwapeleka Abiria ujue wanamaslahi napo.
 
Mbona bei ya kawaida sana, kuliko kwenda kula vyakula sehem za ajabu alafu uje uendeshe mfululizo na kuumwa na tumbo kwa kuogopa kutoa 7000. Na kama unaona ghali safiri na chakula chako kutoka nyumbani utaepuka gharama.
Hata hicho chakula huwa cha kawaida sana
 
Back
Top Bottom