Sawa, lakini je hizo sheria zao zinakuhukumu wewe? Tusiwe wepesi wa kuhukumu kwa maneno juu ya sheria za wenzetu wakati sisi hapa kwetu sheria zetu hatuzifuati, mwizi akikamatwa anatakiwa apelekwe kituo cha polisi, mbona anauwawa.Nchi kama Saudi Arabia inaongozwa direct Na agents wa kuzimu hizo zinazoitwa Sharia laws Ni Sheria kutoka kuzimu Na ibilisi ndio anayezisaini Ni Sheria za kishenzi sioni mantiki yake. Wanawake Ni miongoni mwa wanaopata sana shida juu ya Sheria hizi
Sheria za mwanadam sio za Mungu timiza au usitimize utahukumiwa na Mwanadam mwenzio... Ila za Mungu utahukumiwa na Mungu Mwenyewe...Sawa, lakini je hizo sheria zao zinakuhukumu wewe? Tusiwe wepesi wa kuhukumu kwa maneno juu ya sheria za wenzetu wakati sisi hapa kwetu sheria zetu hatuzifuati, mwizi akikamatwa anatakiwa apelekwe kituo cha polisi, mbona anauwawa.
Taurati ilikuwa wakati wa Musa na kuendelea, baada ya Yesu haifuatwiHivi wa dini ile mnafata taurati kweli hebu hukumianeni tuone mtakavyofanya
Ndo maana na hili inabid lipigwe vita.Ina maaan watu hamuoni hata mbona kule gwantanamo bay wafungwa walikuwa wanachomwa moto wakiwa hai hadi umoja wa mataofa ukaingilia baada ya video yake moja kuvuja mtandaoni??????????
Halafu kuna watu walitaka mahakama ya kadhi! Nahisi walikuwa na kisa na mtu.Mwisho wa siku nae atakufa aisee hizi dini hizi ....
Sheria za Mungu zinabadilika?Taurati ilikuwa wakati wa Musa na kuendelea, baada ya Yesu haifuatwi
Torati. Ndo maana Yesu alipoletewa mzinzi na kuambiwa Musa aliamuru apigwe mawe aliwaambia asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga huyo mzinzi. Kifupi wote waliondoka, inamaanisha kila mtu ana makosa kwa si sawa kumchinja mwingine.
Hiyo ndo mana ya neema kwako?Ama kweli neema ina maana tofauti kwa watu tofuti.Hiyo safi sana - inaleta amani katika nchi. Watu wanaishi kwa amani kwani hao wahalifu wachache wanakua mfano. Mtu huogopi kutembea usiku kuwa utauwawa au utaibiwa. Kwa vile amani ilivyoshamiri Watu wanashighulikia kujenga jamii badala ya kukaa kuogopa majambazi, wauwaji na wauza madawa ya kulevya. Angalia duka la dhahabu kama hili unakuta mlango uko wazi na wateja wanaingia na kutoka na hakuna hata mlinzi - je hii sio neema ?
Na makosa ya kuuwawa ni ukiuwa mtu, au kuuza madawa ya kulevya - makosa mengine yote ni kufungwa.
Sawa, lakini je hizo sheria zao zinakuhukumu wewe? Tusiwe wepesi wa kuhukumu kwa maneno juu ya sheria za wenzetu wakati sisi hapa kwetu sheria zetu hatuzifuati, mwizi akikamatwa anatakiwa apelekwe kituo cha polisi, mbona anauwawa.
Kuhusu sheria za Mungu kubadilika au kutokubadilika,hili ni somo gumu kwako na linahitaji darasa kabisa. Siwezi kukuelewesha humu ukaelewa. Ndo maana Yesu alipokuja alifundisha kusamehe saba mara sabini pia kuwapenda wengine hata adui zako.Sheria za Mungu zinabadilika?
Haya Niambie musa alikua anawahukumu kifungo gani wazinzi na wauaji?
Na Sisi bila Yesu Nadhan tungekuwa kwenye mkenge wa mzee LuciferTaurati ilikuwa wakati wa Musa na kuendelea, baada ya Yesu haifuatwi
Torati. Ndo maana Yesu alipoletewa mzinzi na kuambiwa Musa aliamuru apigwe mawe aliwaambia asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga huyo mzinzi. Kifupi wote waliondoka, inamaanisha kila mtu ana makosa kwa si sawa kumchinja mwingine.
Musa alitimiza sheria, Yesu alikuja kutufafanulia... Basi kama ni hivyo Musa na Yesu nani wakumfuata? Aabudiwe alieleta upendo Katika dunia hii.Sheria za Mungu zinabadilika?
Haya Niambie musa alikua anawahukumu kifungo gani wazinzi na wauaji?
Zuwena Wewe unasemaje Katika hili mama?Da!! Hii inasikitisha
Sina lakusema zaidi ya kupinga utaratibu huuZuwena Wewe unasemaje Katika hili mama?
Je, unapinga wakati ni sheria mama?Sina lakusema zaidi ya kupinga utaratibu huu