Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Mwanzo umenihuzunisha ila mwishoni umenichekesha sana mkuu.

Mstari wako wa mwisho tulikuwa tunajadili hivi punde na Bold...ya kwamba watu kama hawa wanaiharibu image ya Uislam.
Inasikitisha sana kwakweli.

Nifah;
Fikiri kidogo tu, Mahali penyewe ndipo palipo mji uleee mtakatifu, Jiwe lilee ku la Al Kaaba, Nikitaka kuswali, naelekeza uso wangu pale. Halaf ukute saa hiyo hiyo, kuna mtu anakatwa kichwa kwa kosa la kitoto kabisa. Imeniharibia swaum yangu kwa kweli
 
Sidhani kama kweli waijua dini yako.

Mkuu;
Hujanitendea haki. Weye kama mwalim na msomi wa dini hii si ungelinifungua kidogo?? Umpate tena maamuma badala ya kumuilimisha wamtupa gizani?? Uislam gani weye waufuata?? Miye naamini, muislam swafii akimkuta kipofu njiani, hata kama hajui yu aenda wapi, lazima umshike mkono umuelekeze palipo msikiti. Hiyo ni rehema wajichumia tu. Niongoze mkuu, usininange tafadhali.
 
Mkuu una hoja madhubuti LAKINI unavoiwasilisha hadi mate uanaturukia huku great thinkers, unashindwa kutuelezea vizuri kati ya uislam na uarabu, wao wanahukumu kulingana na maandiko ya kitabu chao na wanadhani wanamfanyia MUNGU wao ibada, hivi waarab wanatumia Bible au............? Kwahiyo waarab ni walokole au wasabato? Pengine upo sahihi lakin unajiloanisha mdomo na nguo zako kwa povu la aerial kama si Omo,
Kila jambo linalofanyika hapa dunian biblia imegusia yote hata hayo ya kuchinja, pamoja na biblia kutafsriwa kwa kila lugha lakini kama hujaongozwa utatoka mtupu kwa kichwa.
Juzi kat kuna maboya walitaka kuanzisha mahakama ya ujinga gani et..... Kwani wale walikuwa waarabu au?
Hamjiulizi kwanin Quran inawaelekeza kusoma BIBLIA.....
Fungueni macho enyi kizazi cha nyoka kizazi cha wasioamini
Kwenye family mtu mmoja au wawili wakiiba tunajua nyumba nzima wezi,
Je unadhani BIBLIA ingelikuwa inatafsriwa kijinga wewe ungelipona juu ya kuasi ukristo ambao ndio NJIA ya haki na kwenda kusiko julikana?
Samahan sana mkuu povu lako ndo limesababisha nikutag
 
Sasa unatetea nini??? Kaa kimya tu usilete ujuaji wako hapa nyambaf
 
Wajinga ndo wateleta ubishi wa kidini. Wenye IQ kubwa tumepata hali halisi ya maisha ya Saudi Arabia.
 
Acha blah blah na kutetea ujinga. Wewe soma makala ujifunze sio kila kitu ni kuleta udini tulia upate nondo. Unatetea hawa watu unafikiri ni ndugu zako? Saudi Arabia kwenyewe hujawahi kufika.
 
And. "The say"
 
Tatizo mnachanganya dini na imani,ukristo ni imani tu na si dini..fikiria hili kuna tofauti kubwa hapo,wakristo wanaamua wenyewe lipi baya na lipi zuri hali hiyo ni tofauti na kwenye dini ambapo Mungu ndiye mwenye kusema lipi baya na lipi zuri.
 
Tatizo mnachanganya dini na imani,ukristo ni imani tu na si dini..fikiria hili kuna tofauti kubwa hapo,wakristo wanaamua wenyewe lipi baya na lipi zuri hali hiyo ni tofauti na kwenye dini ambapo Mungu ndiye mwenye kusema lipi baya na lipi zuri.
Nani anachanganya sharia law na utawala kama siyo waislamu? Naona unajipinga mwenyewe labda hujapata juice ya mkojo wa ngamia!
 
Acha blah blah na kutetea ujinga. Wewe soma makala ujifunze sio kila kitu ni kuleta udini tulia upate nondo. Unatetea hawa watu unafikiri ni ndugu zako? Saudi Arabia kwenyewe hujawahi kufika.
Ninetetea nini unaweza kunitajia nilichotetea? ni kweli hao sio ndugu zangu mie ndugu zangu huku wanaua albino ili wapate utajiri,we ndugu akina nani na wanafanyaje?
 
Nani anachanganya sharia law na utawala kama siyo waislamu? Naona unajipinga mwenyewe labda hujapata juice ya mkojo wa ngamia!
Ukristo sio dini ni imani tu na ndiyo maana suala la lipi zuri na lipi baya hutokana na utashi wenu tu,hivyo ni tofauti na dini.

Nafikiri umenielewa.
 
Nchi za kiarabu ndiyo zinatumika kuupima uislamu kwa sababu ndiko kwenye waislamu wengi ila tukisema tupime ukristo kwa kuangalia nchi zenye wakristo wengi itakuwa balaa hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…