Sawa mkuu,maana nimeona umesema dini za kigeni nikajua ubazijua dini za wazawa.Binafsi siami katika hizo vitu ziwe za wazawa, na zenyewe kama zipo na hizo za wageni.
Kwa hiyo, sijui chochote kihusucho dini ya wazawa au wageni!
Hahaha...hao ndio wenye pua pana za kibantu, nywele ngumu na ngozi nyeusi tii halafu eti huwa wanajiita waarabu.Haa haaa haaa, ndiyo mwimgine humu akanitukana eti mimi "kafir" nikashangaa sana nikamuuliza, ulishawahi kukutana na mtume!? Hana jibu, unajua alipo, hana jibu, alikuwa mwaminifu hana jibu!
Nikachoka sana.
YESU KRISTO hajanifundisha kujitoa muhanga, mimi ni mtumishi wake.Aiseee, samahani, usije ukajitoa mhanga humu JF.
Laiti, ungehitaji kujifunza , ungeniuliza ni kwa nini nimeandika kwa mtazamo huo; ningekuelewesha.
Pole sana naona una tatizo siyo bure tena kubwa sana!
Dini zenyeewe hizi za kuletwa, za kigeni !?
Sina umoja na hata mojawapo ya dini iliyoletwa Afrika, iwe na mfanyabiashara au mkoloni, wala sina shirika na mganga/mchawi.
Hata wewe mkuu ungekuwa huna mihemko waislamu wangekusifia kama wewe ulivyomsifia Nifah.. ila kutwa kutukana na kulaani waislamu.Wewe huwa unajielewa sana...ndio maana nakupenda.
Kuna wale waislam mihemko...wao ni kusifia hata Upumbavu, Uonevu na Ujinga.
Wanajifanya wapo radical kuliko waarabu wa Saudi Arabia na hawahusishi akili zao.
Hovyo sanaa!Hao ndo waarabu kila cku utawasikia wakiilaani ISRAEL eti hawana huruma...
Mungu hawezi kuwasamehe hawa...labda Bwn. AllahMungu awasamehe tu inasikitisha sana
Unamzungumzia Bwn. Allah au?Duh! Huyu Mungu kabla hajatuhukumu, kama ni Mungu wa haki ana mengi ya kutujibu hakika.
YESU KRISTO hajanifundisha kujitoa muhanga, mimi ni mtumishi wake.
Nimesikitishwa kwamba unailaumu Marekani. US anaangalia maslahi yake tu, kama hayajaguswa basi hawana time na imani ya watu
Duh..Kumbe Yehova sio nwenye kusamehe waja wake.Mungu hawezi kuwasamehe hawa...labda Bwn. Allah
Hahaha...hao ndio wenye pua pana za kibantu, nywele ngumu na ngozi nyeusi tii halafu eti huwa wanajiita waarabu.
Kama sio utaahira ni nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nchi nyingine haziwezi kuyafanya haya kwakuwa Qur'an inayosomwa na waislam duniani zinatofautiana katika contents.Je mbona nchi zingine za kiislam hazitoi adhabu za kuchinja watu ina maana wanakwenda kinyume na maamrisho. Me nionapo hapo ni suala la kutoa kafara kwa mamlaka zilizojuu,na suala la tawala kujenga hofu na utii wa taifa la ndio mzee ili watawala wafanye watakavo,Unachinja mtu wakati we pia ni mfu mtarajiwa.
UHURU JR nilishakuelezeni hapa kuwa nina ndugu waislam na ninawaheshimu sana, my best friend tuliograduate pamoja ni Muislam by the name "Hussein"Hata wewe mkuu ungekuwa huna mihemko waislamu wangekusifia kama wewe ulivyomsifia Nifah.. ila kutwa kutukana na kulaani waislamu.
Tizama mleta mada ametahadharisha watu wasikashifu imani za watu ila kilichotokea ni kuanza kutukwanwa waarabu hadi waislamu,laiti mahubiri ya upendo yangekuwa yamewaingia kisawa sawa hata msingefanya hivyo ila mngevumiliana tofauti za imani na mkawa wapole kama Nifah.
YEHOVA sio Yehova,Duh..Kumbe Yehova sio nwenye kusamehe waja wake.
dogo tulia hapa si madrasa
naona umetumwa kuvuruga mada
Hiyo si haja kubwa...hakuna haja kubwa kama Ngama.Duh! Wakati nasoma nilikua najisikia haja kubwa!!
Hii style ndio ambayo inahamasisha ushoga na kuwafanya Wanaume waumi'nin wa allah waikimbikie bikira ya mbele ya mwanamke...!