UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Sawa mkuu,maana nimeona umesema dini za kigeni nikajua ubazijua dini za wazawa.Binafsi siami katika hizo vitu ziwe za wazawa, na zenyewe kama zipo na hizo za wageni.
Kwa hiyo, sijui chochote kihusucho dini ya wazawa au wageni!