Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Mkuu suala la kubinua kekundu tumekuta Musa na Mungu mwana wanafanya sasa hawa ndio waasisi wa uchoko.
Ninajua sana na Musa ni Nabii mkubwa sana hata katika Ukristo

Suala la uchoko kaanza kuleta nduguyo katika Imani, consider some comments above.

Kwahiyo wakija hivyo nawajibu hivyo hivyo mwaka mzima.
 
Ninajua sana na Musa ni Nabii mkubwa sana hata katika Ukristo

Suala la uchoko kaanza kuleta nduguyo katika Imani, consider some comments above.

Kwahiyo wakija hivyo nawajibu hivyo hivyo mwaka mzima.
Sasa ukijibu hivyo inakusaidia nini au hujui ukitukana Mungu wa mwenzako na wako atatukanwa pia kuwa mstaarabu na ndii maana nilivyoona komment zako nikaona nikuvae hivyohivyo ili ujue kwamba uchoko ulianza na machokolist kabla Muhammad hajaja toka "MWANZO" hadi "UFUNUO" watu wanabong'oa tu.
 
Sasa ukijibu hivyo inakusaidia nini au hujui ukitukana Mungu wa mwenzako na wako atatukanwa pia kuwa mstaarabu na ndii maana nilivyoona komment zako nikaona nikuvae hivyohivyo ili ujue kwamba uchoko ulianza na machokolist kabla Muhammad hajaja toka "MWANZO" hadi "UFUNUO" watu wanabong'oa tu.
Wewe waonekana wataka kuelewa mengi, wenzio bongo zao zina majipu nahisi...

Mathalan: niliuliza swali zuri kwaajili ya kupata kufahamu, swali lilikuwa hivii:-

"Hivi Mtume Muhammad (S.A.W) alipoacha wake zake duniani je wale wanawake walikuwa aknowledged kwa lolote? Walikuwa manabii au waliolewa na wanaume wengine na hawakusikika tena? "

Baada ya kuuliza hilo nikajibiwa kwa matusi mengi bila kueleweshwa, hata mimi wangeniuliza hivyo ningewadirect kwenye maandiko ya Biblia.

Ila wao walinitusi na mimi nikiwatusi wao wanalialia tu.


Wabillah Tawfiq
 
Naona

Kila jamii ina taratibu zake.
Saudi Arabia nadhani wananchi wake wamekubali kufuata SHARIA.
Ambayo imo kwenye kitabu chao wanachokiamini ni muongozo wa maisha yao

Kama unataka kutembelea nchi hiyo basi ujiandae kukabiliana na taratibu zao kwamba ukibainika umetenda kosa la kustahili kuchinjwa hadharani hakika utachinjwa.

Tatizo
Ninalo liona ni kitendo cha kutekeleza sheria hiyo kali hadharani.
Nilipendelea kama hukumu ya kuchinja ifanyike sehemu ya siri ili wasiohusika wasione.
Kitendo cha kumwona binadamu mwenzako anachinjwa hadharani hata kama alikuwa mwovu kinasikitisha na kinahuzunisha sana, kinaweza pia kumuathiri mtazamaji, akawehuka, achanganyikiwa, akazimia na hata kufa kabisa.

Imani
Tukirudi Kiimani nadhani si suala la kulaumu imani fulani maana ni Kitabu chao ambacho ni muongozo wao walioamua kuufuata au kuurithi toka kwa wazazi wao kinavyowaongoza.

Swala hili labda ni kuendelea kuelimishana au kuulizana

Je imani hiyo inayotii SHARIA hairuhusu mkosaji kuomba msamaha ?
Je nani napaswa kuombwa msamaha na mkosaji ?
Kama mkosaji anadhibiwa na binadamu hapahapa duniani
Je kuna haja ya mkosaji kutubu hiyo dhambi kwa Mungu ?
Je imani hiyo ni ya watakatifu pekee ?
Wale wanafanya kosa hilohilo kwa kujificha na kutotambulika wanachukuliwa hatua gani ?

Maana ninavyojua kila mtu anamakosa, hakuna mkamilifu.

Poleni mlioathirika na mada hii
 
Yaani nyinyi sema hamjui tu wazee,ila muda wa sheria za huyo mnayemuita yesu umeshapita.Wewe unachotakiwa ni kuchukua hii akiba ya maneno....Je ukifa katika hali hiyo ya ukiristo utaenda kumueleza nini Mola aliyekuumba ?

Ujumbe nimeshakufikishia mzee....
'' mimi ni alpha na omega (mwanzo na mwisho), mtu haendi kwa baba ila kwa njia ya mimi''

Jesus Christ
 
Hapa mnachanganya hulka za watu fulani au tabia za watu na dini. Hao wanafanya hivyo kwa kisingizio cha dini ila wanafanya kwa maslahi ya kisiasa zaidi na sio dini kitabu cha dini mtu anaweza kukitumia kwa itikadi zake tofauti na dini iwe Biblia au Qur-an.
 
Hapa mnachanganya hulka za watu fulani au tabia za watu na dini. Hao wanafanya hivyo kwa kisingizio cha dini ila wanafanya kwa maslahi ya kisiasa zaidi na sio dini kitabu cha dini mtu anaweza kukitumia kwa itikadi zake tofauti na dini iwe Biblia au Qur-an.
Kwahyo unataka kusema sharia ya kuchinjwa ni hulka za watu au Quran inasema hivo?
Dini inasemaje kuhusu hilo?
 
Kwahyo unataka kusema sharia ya kuchinjwa ni hulka za watu au Quran inasema hivo?
Dini inasemaje kuhusu hilo?
Saudia hakuna uislam huo tunaodhani wanao nao ni washenzi tu kama washenzi wengine hakuna uislam wa hivyo.
 
Nifah Divine... glory to yhwh BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga SANCTUS ANACLETUS mngony Excel Mussolin5 Jimena Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea shareef conscious wambeke The Boss Deejay nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root aretasludovick jonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully Van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi @Alybaba babu na mjukuu platozoom jimmyfoxxgongo Nicodemas Tambo Mwikozi Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos Tembo2 Erick the future nancy1983 Bulah binsaad Fazzaly the wolf everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant Jagood pacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni Dinazarde Analyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH Ficus sunola Robot la Matope mamaafacebook II JEKI likikima Compact scorpio me G'taxi YNWA adna yuzo ntamaholo Otorong'ong'o naan ngik-kundie kandukamo1 AFRICA101 mwalidebe Kobe Blaki Womani kalendi savius The Great Emanuel r2ga Ntaluke.N. Transcend Msemachochote Mchumiajuone mwampepec MTOTO WA KUKU Fukara proto cute kawombe zinginary MLALUKO JR Vupu barafu BlackPanther Ntuzu Matola impongo ntamaholo Mkoroshokigoli Deadbody KING easy mahoza Msolo kkenzki deborah1 KIDUDU buffalo44 winlicious riziki Allys MUHUNZI Moses2015 nacktary Liuumi dochivele Renzo @barbers hmjamii mbere TATIANA famicho LUCKDUBE mwanadome Straton memphis ghazar Graph Theory Honey Faith Shunie Slave ddcmanesto zinginary pacesetter Nkanaga KOMUGISHA mikatabafeki johnsonmgaya lee empire wigo MJINI CHAI Asprin mtzmweusi Erasto kalinga Chrizo kichakaa man LULU bike FORTALEZA poleni shibumi ZE DONE umande Edger Sr sir joshua sammoo Roram Password Bavaria hambiliki mwanangu Asili100 Evarist Massawe nice1 Jumong S Rogie 1babake nasreen uberito baest dustless Kilemachocho Tumosa mtembea kwa miguu Debbs Joe scorpnose musacha shibumi seeker of knowledge Simuchi Veni Vidi Vici TUJITEGEMEE abuu garcia Hon Nkundwe Festo Festo marion09 mike2k The dream bro kay vandelintz kirikou1 POINT LOAD lusaka city Dirham Rodcones bato MANCNOO multiphill90 GEORGE Dalali mwanamalundi90 MwaFreeca Roram Ta-kibombo troublemaker mambo KOMUGISHA calabocatz Papaa Azonto Msemachochote Mdomo bakuli tizo1 option dikembe iL Buono fakalava ABDUL KAREEM @Gobe Justine Marack Goodluck Mchika MR UNINFORMED darcity nkasoukumu nG'aMBu thatonegAl kabanga MPARE KIBOGOYO Edward Sambai Rassa mnonje srinavas last king of uscoch proto cute Kennedy krava Rais2020 kbosho Mzee wa BsN sam2000 fuma 999 Bableee dawa yenu The Certified DON SINYORI mij adden


bwii ONTARIO Kobe The Vein Mondray jaxonjaxon successor mzee wa liver sawariya Sitaki ukuda Domhome Mpatanishi MKANDAHARI mtugani wa wapi huyo wealthier cluecell Toyota escudo mgumu2 troublemaker Linamo shedede kamtu33 SteveMollel ngushi Donald stewart Mshuza2 Glycel mnonje Ochuanilove SingleFather Santi DEOD 360 ngushi anatory antony ukhuty chris van chicha auxillius Goma Son Hubeb pes KING DUBU VILLAIN mwayena donbeny Aleppo JipuKubwa shoo61 BOMBAY John mungo Nyakageni bato Dogo 1 sufra chamlungu
Uwe unanitag na Mimi mkuu
 
Hii style ndio ambayo inahamasisha ushoga na kuwafanya Wanaume waumi'nin wa allah waikimbikie bikira ya mbele ya mwanamke...!

View attachment 499638

Kwanini kumbinulia makalio mwanaume mwenzio rijali kiasi hiki bwn sheikh?
Huyo myahudi uliyemfanya mungu aliposujudu alikubinulia wewe ??
 
Magaidi
Wanaoniudhi sana ni wanaharakati wa kigaidi
Kama Al Qaida,ISIS nk.
Moja ya Sera yao ni kuwakamata Wakristo na kuwachinja
Mbona kuna imani nyingi kama za ;
Kiislamu
Kibudha
Kihindu
Kifreemasoni
Kirastafari
Kilusiferi nk
Lakini wao anawawinda Wakriso tu na kuwaua.
Na wanapochinja utawasikia wanaita kwa sauti ya juu yenye munkari
"Allahuwakibaluuh"

Sasa tunajiuliza ivi kweli huyo Allah anaruhusu jambo hili?
Mbona wanawaua na watoto ambao hawana hatia ?

Jambo hili linawafanya baadhi ya Wakristo siyo tu kumwogopa Allah, bali kujiuliza,
Ivi huyu ni Mungu aliyemwumba binadamu kweli ?
Mbona anawaagiza watu wachinje watoto wake ?
(Kumbuka kuna Wakristo wengi sana ambao hawajawahi kuisoma Qurani na hawajui kilichoandikwa humo)

Ivi hao Boko haramu, ISIS, wakichukua utawala wa dunia kama wanavyotaka.
Wakristo watapona kweli?
Nani atawatetea ?
Mbona hawasemi Wakristo wamewakosea nini, ili wasikilizwe.

Kama wanalipa kisasi kwa Wamarekani,
Wamarekani siyo wakristo pekee, wapo pia Waislamu, wahindu Wabudha nk, ambao ni Wamarekani.

Haya makundi ya kigaidi yanaongeza uhasama na kutoaminiana kati ya jamii na imani zetu.

Cha ajabu utakuta baadhi ya Waislamu, (hao ni wachahe sana) eti wanawashabikia kabisa hao magaidi. Jambo hili ni kweli kabisa na sijawahi kuona Mkristo akishabikia vitendo vya makundi hayo.

Ndo maana inasemakana baadhi ya watu wenye kujihusisha na makundi haya wanajificha katika baadhi ya jamii za Kiislamu, nao wanawahifadhi.

Naomba binadamu tubadilike,
Wote tumeumbwa na Mungu mmoja na anatupenda sana, kwani ana uchungu na sisi.
Kila mtu amepewa ridhiki yake
Hivyo kama hujisikii kumpenda mtu flani we mwache afulahie maisha ilimradi hakuingilii mambo yako la sivyo vyombo vya sheria vipo.

Tumepewa nchi nzuri tupendane, kama inatokea imani ina sema mdhuru, muue, mchinje mtu fulani basi tuiepuke hiyo siyo imani ni ugaidi.

Amina.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom