Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Tunahitaji Katiba na muundo wa utawala wenye kuupa uwekezaji na biashara binafsi imani hadi ya miaka 50 mbele, tunahitaji mfumo wa uongozi unaotabirika sio matamko mapya kila kukicha, tunahitaji mfumo wa uongozi unaojitahidi kupunguza regulations, red tapes na kodi sio unaojitahidi na kujisifia kuongeza vitu hivyo.
Mfumo huo wa uongozi unahitaji kusimikwa juu ya katiba mpya iliyo thabiti na kuelekeza kwamba sisi ni taifa la kibepari. Bila hivyo mawazo ya Ujamaa na hodhi ya dola kwa chama kimoja vitaendelea kutufanya mafukara tunaoenda kwa mwendo wa Kobe.