Tatizo la nchi ni Katiba, Marekani na Ulaya yote haina na haijwahi kuwa na adhabu ya kifo kwa mafisadi ila ndio mataifa yalioendelea
Inaonekana wewe huzijui historia za mataifa hayo kiuchumi, lakini pia hujawahi kuishi huko hata kwa wiki moja. Hizo nchi hazina utani kwenye uhujumu uchumi na ukwepaji kodi.Ni uongo,
Marekani, Ulaya, Urusi na Australia hazijwahi kuwa na sheria za kunyonga mafisadi. Tatizo letu kubwa ni la Katiba na kiakili.
Shida hapo sio Katiba, bali watu wanaotenda kwa mujibu wa Katiba.Tunahitaji Katiba na muundo wa utawala wenye kuupa uwekezaji na biashara binafsi imani hadi ya miaka 50 mbele, tunahitaji mfumo wa uongozi unaotabirika sio matamko mapya kila kukicha, tunahitaji mfumo wa uongozi unaojitahidi kupunguza regulations, red tapes na kodi sio unaojitahidi na kujisifia kuongeza vitu hivyo.
Mfumo huo wa uongozi unahitaji kusimikwa juu ya katiba mpya iliyo thabiti na kuelekeza kwamba sisi ni taifa la kibepari. Bila hivyo mawazo ya Ujamaa na hodhi ya dola kwa chama kimoja vitaendelea kutufanya mafukara tunaoenda kwa mwendo wa Kobe.
Sasa si KATIBA yenyewe unaona wasivyotaka itengenezwe inayowabana wasifanye ufisadi?Tatizo la nchi ni Katiba, Marekani na Ulaya yote haina na haijwahi kuwa na adhabu ya kifo kwa mafisadi ila ndio mataifa yalioendelea zaidi duniani.
Hujitambui aisee IPO siku utajutaMagufuli alipaswa anyongwe kwa ule ufisadi wa karne aliopiga wa TZS 1.5 trilioni.
View attachment 2034654View attachment 2034655View attachment 2034656
Jamaa wa ccm wamejitengenezea sheria nyepesi ili watupige kodi zetu na wanalijua hilo tunahitaji katiba mpya itakayowawajibisha weZ wa mali za ummaMataifa ambayo uchumi wao uko juu sana duniani wana adhabu katili sana kwa watu wao wanaobainika kuhujumu uchumi kunakosababisha mtu afikirie mara mbili kabla ya kuiba Mali ya umma. Hapa kwetu adhabu ya kumtia mimba mtoto wa shule ni kubwa kuliko aliyeiba hela za umma kwa mabilioni. Nani katuroga?
Hapa kwetu eti Rais hata akituibia kiasi gani Cha fedha eti hashitakiwi Wala kuguswa, ni nani ameturoga?
Adhabu zetu hizo ndio maana mtumishi wa TRA au Bandari haoni ni kwanini asijizolee pesa kabla hajaondolewa kwenye nafasi na kabla ya uzee haujamkuta, maana adhabu zenyewe zinavumilika kabisa.
Mataifa ya Uchina, Marekani, Asia na Ulaya kuiba mali ya umma hakuna kinga kwa yeyoye yule. Sisi hapa hatuko serious, hata anaeonekana kufoka sana kuhusu ufisadi anaigiza tu.
Inaonekana wewe huzijui historia za mataifa hayo kiuchumi, lakini pia hujawahi kuishi huko hata kwa wiki moja. Hizo nchi hazina utani kwenye uhujumu uchumi na ukwepaji kodi.
Wewe ambae nchi yako inatafunwa halafu unakenua meno kama Zuzu ndiye hujitambui.Hujitambui aisee IPO siku utajuta
Hata hayo uliyo andika MAZUZU AWAWEZI KUKUELEWAKwaakweli!!! Hakuna kiongozi wa Afrika atapenda kutengeneza katiba ambayo mhujumu uchumi yeyote bila kujali nafasi yake atanyongwa au kifungo cha maisha. Hii inafahamika kwakuwa viongozi wetu ni wezi, wanakwapua. Kama kweli kiongozi ni msafi kwelikweli aandike katiba inayochukia wizi wa mali za umma. Huku kuanzisha mahakama za mafisadi na wakati huohuo unaongeza idadi ya watu wenye kinga ya kushitakiwa ni UFISADI pia.
Kwavyovyote vile raia lazima tuache kuishi kwa mazoea. Viongozi wetu wanapata maisha ambayo hayana maelezo ya kutosheleza zaidi ya wizi wa mali zetu kwa kutumia dhamana tunazowapa. Kuandika Katiba inayolinda Mali zetu sio ombi Wala hisani, na kuhakikisha tunaongozwa na kutendewa kwa mujibu wa Katiba hiyo sio ombi wala hisani. Elimu yetu mashuleni lazima iwaambie hivyo watoto wetu.Hata hayo uliyo andika MAZUZU AWAWEZI KUKUELEWA
Iko sahihi kabisa na anayetakiwa kuanza kunyongwa ni JK Ndugai, Mama MalindaMataifa ambayo uchumi wao uko juu sana duniani wana adhabu katili sana kwa watu wao wanaobainika kuhujumu uchumi kunakosababisha mtu afikirie mara mbili kabla ya kuiba Mali ya umma. Hapa kwetu adhabu ya kumtia mimba mtoto wa shule ni kubwa kuliko aliyeiba hela za umma kwa mabilioni. Nani katuroga?
Hapa kwetu eti Rais hata akituibia kiasi gani Cha fedha eti hashitakiwi Wala kuguswa, ni nani ameturoga?
Adhabu zetu hizo ndio maana mtumishi wa TRA au Bandari haoni ni kwanini asijizolee pesa kabla hajaondolewa kwenye nafasi na kabla ya uzee haujamkuta, maana adhabu zenyewe zinavumilika kabisa.
Mataifa ya Uchina, Marekani, Asia na Ulaya kuiba mali ya umma hakuna kinga kwa yeyoye yule. Sisi hapa hatuko serious, hata anaeonekana kufoka sana kuhusu ufisadi anaigiza tu.
Fikiria aina ya wawakilishi wetu mjengoni wanavyochangia hoja na kupitisha maamuzi chini ya sabufa ndo uje hapa tujadili. Karibu.Mataifa ambayo uchumi wao uko juu sana duniani wana adhabu katili sana kwa watu wao wanaobainika kuhujumu uchumi kunakosababisha mtu afikirie mara mbili kabla ya kuiba Mali ya umma. Hapa kwetu adhabu ya kumtia mimba mtoto wa shule ni kubwa kuliko aliyeiba hela za umma kwa mabilioni. Nani katuroga?
Hapa kwetu eti Rais hata akituibia kiasi gani Cha fedha eti hashitakiwi Wala kuguswa, ni nani ameturoga?
Adhabu zetu hizo ndio maana mtumishi wa TRA au Bandari haoni ni kwanini asijizolee pesa kabla hajaondolewa kwenye nafasi na kabla ya uzee haujamkuta, maana adhabu zenyewe zinavumilika kabisa.
Mataifa ya Uchina, Marekani, Asia na Ulaya kuiba mali ya umma hakuna kinga kwa yeyoye yule. Sisi hapa hatuko serious, hata anaeonekana kufoka sana kuhusu ufisadi anaigiza tu.
Jasho LA umma haliliwi, iko siku ganzi ya watanzania itakwisha mwilini, watahoji nani ilifanya nini hadi iwe hivi. Kundi LA kwanza kutokwa Na ganzi hiyo watakuwa wamachinga, bodaboda Na kufuatiwa Na walimu Na watu wa afya, wakifuatiwa Na kundi LA askari.Iko sahihi kabisa na anayetakiwa kuanza kunyongwa ni JK Ndugai, Mama Malinda
Kuna maafrika mengine eti yanasema bila wazungu ahatuwezi chochote na sasa yanalelewa huko kisha nayo yanasema ni maafrikaMagufuli alipaswa anyongwe kwa ule ufisadi wa karne aliopiga wa TZS 1.5 trilioni.
View attachment 2034654View attachment 2034655View attachment 2034656
Ulitaka kusemaje maana sijakupata?Ku
Kuna maafrika mengine eti yanasema bila wazungu ahatuwezi chochote na sasa yanalelewa huko kisha nayo yanasema ni maafrika
Yaani Trump tukana hizi kenge za Afrika mpaka masikio yao yazibuke.
Ulichoandika huko juu kinaonyesha kwenye matusi ya Trump hukosekani,Ulitaka kusemaje maana sijakupata?
Sasa unataka nipingane na ripoti ya CAG?Mimi ni nani kwenye nchi hii hadi nipinge ripoti ya CAG?!Ulichoandika huko juu kinaonyesha kwenye matusi ya Trump hukosekani,
Fitina, uchawi, ngono, ulevi, misifa, wizi, ufisadi, kuzaa hovyo, udumavu wa akili, na mengine mengi, by D Trump.
Mzungu sio mjinga kiasi hicho, mzungu anafahamu kuwa viongozi wa Africa ni wezi Na hawakusanyi kodi. Mzungu sio mjinga akupe wewe fadha ya wananchi wake wanaokamuliwa Na hata ikibidi kufungwa Na kunyongwa eti akuletee wewe mwizi Na usiekusanya kodi kwa wananchi wako. Ukiona mzungu anakupa hela ya mpiga kodi wake usifurahie Na kukenua meno, bail fahamu kuwa hicho ni chambo tu, ana jambo lake kuuuubwa analitaka kutoka kwako leo, kesho au hata keshokutwa.Ku
Kuna maafrika mengine eti yanasema bila wazungu ahatuwezi chochote na sasa yanalelewa huko kisha nayo yanasema ni maafrika
Yaani Trump tukana hizi kenge za Afrika mpaka masikio yao yazibuke.