Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Itakuwa mizimu ya Oktoba 29 imeanza kuwasalimia na Polisi😌😌
Admini wa Page ya Jeshi la Polisi kajichanganya huko, kaenda kulike mambo ya fezea, mambo ya hajabu, vitu za rikiboy na genge lake
. Imebidi nikawafolo Polisi kuhakikisha bana isijekuwa Eiai🌚
Hyyu afande amelike itakuwa alishikwa bega, mali yote ikaenda
Itakuwa mizimu ya Oktoba 29 imeanza kuwasalimia na Polisi😌😌
Admini wa Page ya Jeshi la Polisi kajichanganya huko, kaenda kulike mambo ya fezea, mambo ya hajabu, vitu za rikiboy na genge lake
. Imebidi nikawafolo Polisi kuhakikisha bana isijekuwa Eiai🌚Hyyu afande amelike itakuwa alishikwa bega, mali yote ikaenda
