Admini wa Page ya Polisi alipo-like mambo ya ajabu! Kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Itakuwa mizimu ya Oktoba 29 imeanza kuwasalimia na Polisi๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ

Admini wa Page ya Jeshi la Polisi kajichanganya huko, kaenda kulike mambo ya fezea, mambo ya hajabu, vitu za rikiboy na genge lake. Imebidi nikawafolo Polisi kuhakikisha bana isijekuwa Eiai๐ŸŒš

Hyyu afande amelike itakuwa alishikwa bega, mali yote ikaenda

 
Kwa taarifa yako tu polisi wanapenda mambo ya ufuska kuliko watu wengi wanavyofikiri, kuliko watu wa kawaida.

Nafikiri kuna saikolojia fulani ya kazi yao inayowafanya wawe hivyo.
 
Kwa taarifa yako tu polisi wanapenda mambo ya ufuska kuliko watu wengi wanavyofikiri, kuliko watu wa kawaida.

Nafikiri kuna saikolojia fulani ya kazi yao inayowafanya wawe hivyo.
Hata kama, ndo apige doria na acc ya ofisi?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ