Adui wa mwanadamu duniani

Hakuna kitabu cha Hovyoo kama Hicho ulichonishauri Nisome.

Na siyo Mimi tu,Hata Mtoto wa shule ya Msingi anaweza kutunga kitabu Bora kuliko Quran.

Mkuu huu ukweli hakuna anaetaka japo kuusikia
 
mtu yoyote anayeogopa kifo ni yule asiyejua dhumuni la uwepo wake hapa duniani hata hivyo kifo hawezi kuwa adui.
 
Mkuu kwasababu wewe umesoma hiyo quran naomba kufahamu kwanini wanadamu na majini wameumbwa, ikiwezekana na ufafanuzi pia kuwa majini ni nini?
Natanguliza shukrani zangu za dhati....

Tatizo la msingi ni kutaka kujifunza vitu kwa kusikia. Kitabu kipo, tena kimetafisiriwa ktk Lugha nyingi. Kwann usitumie Muda kidogo kukisoma? Kisome, ukikwama uliza ufafanuliwe.
Vinginevyo basi kweli una shida km hujui malengo ya kuumbwa, na majini ni nini haswa.
 
Haya ni Maswali yangu Kwa mleta Mada;
kifo Ni Kitu HALISI Mpaka kiwe Adui Yetu?au ni Mbinu tu ya Uandishi?

Pia umesema kuwa Mungu hakuumba kifo,kwanini Hakuumba kifo wakati yeye ndiye Muumbaji wa Kila kitu?

huenda ame quote lyrics za wimbo wa kifo wa mwanamuziki Dr Lemy (RIP) ambao kimsingi hauna uhalisia.
 

Yes i believe 100%...au mr hukunielewa mwanzo naona unazungumza sawa na mawazo yangu nilivyosema ...NATURE CONTROL EVERITHING NA NDO MANA NKASEMA "THINGS CAN NOT GO AGAINST NATURE"..au nimekosea mimi kukuelewa...einstern unatumia high profile...tumia low profile..mimi kilaza.
 

Kwahiyo hapa ndo umeshajibu swali mwenyewe?
Hakuna kitu kinaitwa majini na wala hayajawahi kuwepo.
Hizo riwaya wala sipotezi muda kusoma mana ungekuwa na hakika na unachokinena wala udingeruka ruka hapa, ungejibu tu
 
Em tuone uhovyo wake



Mkuu quran ina mapungufu kuliko unavyoweza kufikiria labda kama hujaipitia.
Quran 7: 54 Allah anasema aliumba dunia kwa siku 6
Quran 10:13 anarudia kusema aliumba dunia kwa siku 6
Ukisoma 41:9 anadai aliumba dunia kwa siku 2
Tukiendelea hapo kidogo 41:10 anadai aliumba kwa siku 4, ukisogea kidogo hapo 41:12 anasema aliumba mbigu zote Saba kwa siku 2
Hivi hili we unalizungumziaje? Au huyu allah ni muongo?
 

Ulishauliza wajuzi wakufafanulie ukashindwa KUELEWA? Au ulijisomea km gazeti?
 
Ulishauliza wajuzi wakufafanulie ukashindwa KUELEWA? Au ulijisomea km gazeti?

Mbona mistari imejitosheleza vizuri tu. Acha longolongo we Sema tu Allah aliumba dunia kwa siku ngapi basiiiiiii......
 
Em tuone uhovyo wake

Basi wewe Ndiyo Hovyo kuliko Qur'an Maana Mpaka Leo Hujui Uhovyo wake.

Quran 36:40,surat ya-sin.
Haliwi Jua kuufikia Mwezi wala Usiku kuupita Mchana na Vyote Vinaogelea katika Njia zao

Maelezo ya Hiyo sura ni Haya;
"Haipelekei Jua Likaacha Sharia zake Likakutana na Mwezi
Na likaingia Katika Njia zake,wala Usiku Hauwezi kuushinda Mchana ukazuia usije,Bali vyote Viwili Hupeana zamu.Na vyote Jua na Mwezi,
Vinaogelea katika Njia za Mbinguni wala Haviachi Njia.

Hapo kwenye Redi,
Neno Njia limetumika kama Orbit ya Sayari,kwa Maana Hiyo Basi.Mwezi pamoja na Jua vyote vipo katika Orbit.
Pia Jua na Mwezi vinaizunguka Dunia katika Orbit zao Bila kukutana.

Hivi,Jua tangu lini Likazunguka?
Au tangu lini Jua likawa kwenye Orbit?

Maelezo yote ya Hiyo sura,yamebase katika Geocentric theory[A-level umesoma Hichi kitu]

Katika Hii nadharia,Jua,nyota na Mwezi vyote vinaizunguka Dunia.
Geocentric theory ni Uongo.
 
Mbona mistari imejitosheleza vizuri tu. Acha longolongo we Sema tu Allah aliumba dunia kwa siku ngapi basiiiiiii......

Jimena
Hata usipate shida,Allah Hajui Hesabu.
Huu ndiyo ukweli na Inabidi tuuseme Maana Hamna Jinsi.

Na kama Anajua Hesabu,Basi atakuwa Anasumbuliwa na Amnesia.
Huwezi kusema Niliumba Dunia kwa sita 6,Halafu Baadae ukasema Niliumba kwa siku 2.

Huu si ni ugojwa wa kupoteza kumbukumbu.?Ebo..!
 
Last edited by a moderator:
Ulishauliza wajuzi wakufafanulie ukashindwa KUELEWA? Au ulijisomea km gazeti?

Si Ndiyo Anakuuliza wewe umfafanulie?Au na wewe ulikuwa Unaisoma kama Gazeti?

Huu ndiyo Ubaya wa kukariri Badala ya kuelewa.
Jibu swali Jombaa,Acha Blah blah.
 



Hujakosea Rajab

kifo siyo Adui wala Adhabu kwetu,Bali ni Weakness ambayo Lazima tuwe Nayo ili Kubalance Nature.

kwa kuwa Hakuna Mtu yoyote atakaye Pingana na Asili kama Ulivyosema,Basi Hakuna Mtu atakayeishi Milele.
[case closed]
 
Hivi ni wale maadui aliotaja nyerere vipi kwani, nakumbuka alitaja maadui watatu'
Namba moja ni UJINga
Namba mbili ni umasikini
Namba tatu ni maradhi...


Ila hio namba one ndo adui mkubwa kuliko, kifo ni matokeo tu
 
Adui wa mwanadam ni fikra zake binafsi, kifo hakihusiani maana hata nyota zinakufa(super/mega nova-star death) sasa nyota zili asi nini?!

Death is still a mystery hakuna aliewahi experience kifo na akarudi. dini zinatumia huu mwanya wa kifo kuvutia waumini mafundisho yao mengi ni kutishiana kifo tu. na hizi dini zimekataza maswali matokeo yake ndo ka haya "close minded people"
 

acha hizo wewe, kama unakiogopa wewe usije kufanya assumption wote wanakiogopa kama wewe, nani asiyependa kupumzika?? Mimi sikiogopi
 
adui mkubwa wa mwanadamu ni ujinga(lack of knowledge) na sio kifo, maana kukosa maarifa ndio kunatufanya wanadamu hasa waafrika tunateseka kama tunavyoteseka sasa hivi
 
Kwa mimi huyo adui uliyemtaja sio...Adui unweza kumuepuka adiu unaweza kumshinda au laa!! Kifo ni fate haukwepi
 
Haya ni Maswali yangu Kwa mleta Mada;
kifo Ni Kitu HALISI Mpaka kiwe Adui Yetu?au ni Mbinu tu ya Uandishi?

Pia umesema kuwa Mungu hakuumba kifo,kwanini Hakuumba kifo wakati yeye ndiye Muumbaji wa Kila kitu?
Kila nafsi itaonja umauti..Huyo ni muumba. Mwandishi Kachapia kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…