Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kuna mrombo mshirikina? ndiyo maana kuna maghorofa Rombo, je wakinga wanajenga maghorofa kijijini? kwanza hata huwa hawarudi kwao muda wote wapo Dar.Wana tofauti yoyote na Warombo?
Mfano Bilionea Macha na Bilionea Sugu au yule Vunjabei