Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kuna mrombo mshirikina? ndiyo maana kuna maghorofa Rombo, je wakinga wanajenga maghorofa kijijini? kwanza hata huwa hawarudi kwao muda wote wapo Dar.Wana tofauti yoyote na Warombo?
Mfano Bilionea Macha na Bilionea Sugu au yule Vunjabei
Ingawa umeongelea uvivu ila hoja kuu iliyopo kwenye uzi wako ni ujinga.
Hili limezungumzwa sana humu JF hata dada yetu [B]FaizaFoxy[[/B]/USER] amelisemea humu jana
[/QUOTE]
Rekebisha huyu siyo dada ni bibi
Huko Rombo mnawaita Freemason ππKuna mrombo mshirikina? ndiyo maana kuna maghorofa Rombo, je wakinga wanajenga maghorofa kijijini? kwanza hata huwa hawarudi kwao muda wote wapo Dar.
Warombo wanajuhudi sn za kutafuta pesa hata mjini unaona wanajitumba siyo kwamba napendelea lakini utakuta wanauza chipsi sijui nini mtori n.kHuko Rombo mnawaita Freemason ππ
Na Wakinga ni hivyo hivyoWarombo wanajuhudi sn za kutafuta pesa hata mjini unaona wanajitumba siyo kwamba napendelea lakini utakuta wanauza chipsi sijui nini mtori n.k
Ni babu πππKwangu anaweza kuwa dada. kwako akawa bibi
Mapembelo tuko juu, hebu nitafutie gorofa la kununua hapo kariakooSijui ndio Sababu nimeuliza π
Warombo mnafanana Sana na Wakinga kwa Utajiri!
Kijijini kwao wamejenga? jibu ni hapana bando wanatakiwa wajifunze kutoka kwa waromboNa Wakinga ni hivyo hivyo
Maghorofa ya Manzese na Kariakoo zaidi ya 50% ni ya Wakinga π
Pale Manzese mnalo lile la Moshi Barπ
wahehe wanachojua ni uchawi tu na kunywa ulanzi, ovyo sanaNa Wakinga ni hivyo hivyo
Maghorofa ya Manzese na Kariakoo zaidi ya 50% ni ya Wakinga π
Pale Manzese mnalo lile la Moshi Barπ
Wewe Mkinga umekimbilia Makambako na kusahau kwenu Lupilaπwahehe wanachojua ni uchawi tu na kunywa ulanzi, ovyo sana
kujenga nyumba ya fahari kijijini ni matumizi mabaya ya akili, unajenga nyumba huwez kupangisha inakuwa makaz ya panya na mendeKijijini kwao wamejenga? jibu ni hapana bando wanatakiwa wajifunze kutoka kwa warombo
Ngoja niongee na Wanyama au Naflesi tukutafutie kajengo la urithi kwa Wazaramo hapa mtaa wa Swahili πMapembelo tuko juu, hebu nitafutie gorofa la kununua hapo kariakoo